zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  2. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  3. Mla Bata

    Kitaa cha zamani na cha sasa ni vitu viwili tofauti! Malezi yameenda wapi?

    Wasalaaam, Let me declare my interest! I'm from the hood ndani kabisa ya mitaa ya Dar es Salaam, Maskani Kinondoni, Migomigo, Sinza, ndiyo mitaa iliyonilea. Sijutii nilikotoka wala makuzi yangu. Kwa namna moja au nyingine, mitaa hiyo imenijenga na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo. Lakini...
  4. F

    Siku hizi Mwanza haipendi tena kama zamani, kunani?

    Alipewa Hadi uchifu, Safari za mwanza zilikuwa haziishi, Kilichonishangaza, iweje mwanao anaoa, tena mwanao anayeoa atokea Mwanza, na Hilo halitoshi anaoa Binti wa Mkubwa Fulani wa nchi jirani na hukuudhuria ukaishia kumtuma mjomba maskafu akuwakilishe. Hii ni Nini hasa tafsiri yake, unaoza...
  5. M

    Rais wa zamani wa Paraguay, Santiago Peña, azuiliwa nyumbani

    Mamlaka nchini Paraguay zimemhamisha rais wa zamani Santiago Pena hadi kwenye kambi ya jeshi kwa ajili ya usalama wake, na kuhitimisha siku yenye sintofahamu kubwa mjini Asuncion. Awali, alikuwa amewekwa chini ya ulinzi wa nyumbani kufuatia kuanguka kwa benki ya UENO. ====== Paraguayan...
  6. SweetyCandy

    Mpenzi wa zamani (My LOVE)

    Nakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here . Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ...... Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee . ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare...
  7. L

    Afrika si Afrika ya zamani tena

    Hivi karibuni, kuna habari tatu zinazostahiki kuangaliwa kwa pamoja. Ingawa zinaonekana hazihusiani, lakini zote zinafichua mabadiliko yanayotokea Afrika katika jukwaa la dunia. Habari ya kwanza ni kwamba michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar ilifunguliwa, ikiwa ni mara ya kwanza kwa bara la...
  8. Crocodiletooth

    Dunia inakimbia sana,hata mtongozano siku hizi siyo kama ule wa zamani.

    Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa... Labda wale wenye rika la...
  9. mdogo wenu wamwisho

    Wazee wa zamani na maisha ya sasa: Je, ni lazima vijana waishi kama walivyoishi wao?

    Maisha ya zamani na ya sasa yana tofauti kubwa sana kiuchumi, kiteknolojia na kijamii. Lakini bado baadhi ya wazee wanataka vijana waishi kwa misingi ileile ya zamani bila kuzingatia mabadiliko ya dunia. Ni kweli wazee wana uzoefu na hekima, lakini si kila kitu kilichofaa zamani kinafaa leo...
  10. Zack Abdul

    Zamani na Sasa

    Mama zetu, enzi hizo, hawakulaza watoto kwenye matoroli. Mtoto alibebwa mgongoni au kifuani. Utamaduni huu umethibitika kusaidia kujenga ukaribu na watoto. Tabia zetu nyingi zenye utu—kujali, kupenda, kuelewa hisia na kuumizwa na maumivu ya mwingine—zinaanza na hakikisho la uwepo mzazi kimwili...
  11. OMOYOGWANE

    Hivi elimu ya sasa imefeli au akili zetu zimegoma? Mbona zamani walisoma vitabu viwili tu na wakabadilisha dunia?

    Wakuu salama! Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni. Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
  12. Eli Cohen

    Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization. Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
  13. gimmy's

    Dhana ya wazee wetu wa zamani kubadili majina ya wake zao kufuata koo zao mara tu wanapowaoa kwanini sasa imekuwa ngumu?

    Habari, Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo, Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga, Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
  14. E

    Joseph Kabila atangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa DRC

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, ametangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa linaloitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN), hatua inayoweza kubadili mwelekeo wa mgogoro wa kisiasa na kiusalama unaoendelea mashariki mwa nchi...
  15. JAYJAY

    Mahakama Ya Jiji Posta Ya Zamani , Dsm Ni Chaka La Rushwa

    Tangu kuanzishwa operesheni za usafi ambazo zimegeuzwa kuwa za kukimbizana na Machinga hiyo mahakama ndio imegeuzwa machinjioni. Watu wanakamatwa na kupelekwa hapo mara utasikia wanataka laki 5, mara laki 4 yaani haijulikani faini halali ni ipi! Ni ujanja ujanja wa kitapeli tu ndio unaoendelea...
  16. Design Your Idea

    Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  17. M

    Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  18. Eli Cohen

    Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

  19. M

    HOJA MDORORO WA KIBIASHARA POSTA: Kwanini Kata za Kivukoni na Kisutu zimekuwa "kimya" kibiashara tofauti na zamani? Wafanyabiashara wameihama?

    Wana-JamiiForums, Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya Zamani) na Kisutu (Posta Mpya). Hili ni jambo linaloonekana wazi kwa mtu yeyote anayepita au kufanya kazi...
  20. F

    Zamani watoto waliosoma primary english medium walikuwa wanaishia la sita wanarushwa form one. Leo hii la 7 wanalazimishwa kusoma pre form one. Why?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one. Na hapo unakuta hao watoto wametoka kusoma english medium primary schools. Kweli mtoto aliesoma mtaala wa kiingereza kwa miaka saba...
Back
Top Bottom