zaidi duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo. Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
  2. Allen Kilewella

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani walishawahi kufungwa

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani, wengi wao walishawahi kufungwa. Achana na Nelson Mandela au Jomo Kenyatta, usifikirie kabisa kujikumbusha kuhusu Kamuzu Banda, hivi unajua nini kuhusu kufungwa kwa Kwame Nkrumah? Unajua kuwa Robert Mugabe aliwahi kufungwa? Tafuta taarifa za Olusegun...
  3. bless on

    Gari Ghali Zaidi Duniani: Mercedes 300 SLR!

    Kama unadhani Bugatti Chiron ya dola milioni 3.5 (TSh bilioni 9.5) ndiyo mwisho wa matumizi ya kijinga ya fedha, basi hujaiona 1955 Mercedes-Benz 300 SLR Uhlenhaut Coupé iliyouzwa kwa dola milioni 142 (TSh bilioni 380)! Kwa bei ya Mercedes hii moja tu, unaweza kununua msururu wa Bugatti Chiron...
  4. Excel VBA

    Kamera kubwa zaidi duniani ilivyopiga picha za kushangaza zaidi

    Juu katika Milima ya Andes nchini Chile, Kituo cha Uchunguzi cha Vera C. Rubin kina kamera kubwa zaidi ya kidigitali kuwahi kujengwa duniani, mashine iliyoundwa kunasa picha za Ulimwengu kwa undani ambao haujawahi kufikiwa hapo awali. Ujenzi wa kituo hicho ulianza mwaka 2015, na kilitoa picha...
  5. Yoda

    Nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi duniani.

    Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi. Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je Israeli iko overrated? Au ni kweli wao ni wabobevu zaidi duniani?

    Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia. Tathmini halisi inaonyesha maeneo ambayo Israel iko juu sana kulingana na sifa zake, na maeneo mengine ambapo ukweli wa mambo...
  7. Lycaon pictus

    Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
  8. Waufukweni

    Utafiti: Gen Z ndiyo Kizazi kikubwa zaidi Duniani, Kikiwa na Watu bilioni 2.04

    Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87 (22.6%), huku Gen Alpha ikiwa na watu bilioni 1.74 (21.1%). Kwa pamoja, vizazi hivi vitatu vina...
  9. Red black

    Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

    Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe. Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia. Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
  10. Kevzy

    Hii ndio nchi inayochukulia poa raia wake zaidi duniani

    Utaijua tu Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000 Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na kwenda hospital husika wanaambiwa bima haifanyi kazi wanabidi walipie Cash ndio wapate huduma Police...
  11. bless on

    Vitu hatari zaidi Duniani mara nyingi havionekani kuwa hatari

    Hatari nyingi haziji zikiwa zimevaa sura ya hatari. Mara nyingi huja zikiwa zimefungwa kwenye kifurushi cha urahisi, maendeleo, starehe au teknolojia. Ndio maana tunapaswa kujifunza kuhoji kila kitu, badala ya kukikubali kwa sababu tu kimekuwa cha kawaida. Fikiria mifano hii: • Mbegu nyingi za...
  12. Kubwjing

    Kifahamu kitabu cha ajabu zaidi Duniani "Voynich Manuscript" na maajabu yake

    Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi kuvielewa ila alinielewesha kuhusu kitabu cha One Thousands and One Night (Alf Laylah-wa Laylah) Mi...
  13. ndege JOHN

    Mitihani Migumu Zaidi Duniani

    🌍 Mitihani Migumu Zaidi Duniani 1. Gaokao huko china 👉 Kwa nini ni mgumu sana Mamilioni ya wanafunzi hushiriki ili kujipatia nafasi ya kujiunga na vyuo bora Mtihani mmoja unaweza kuamua maisha yako yote Shinikizo kubwa kutoka kwa familia na jamii unaambiwa siku hio inakuwa ni kama siku...
  14. Yoda

    Ukiangalia Bunge la Uingereza unaweza kuelewa ilikuaje waliweza kuitawala robo ya dunia wakati fulani na kuwa himaya kubwa zaidi duniani

    Hawa watu wana akili na wako serious sana, kwenye sakata la Epstein Waziri mkuu wao Keir Starmer amejibu maswali ya wabunge zaidi ya 30 ya hapo kwa hapo! Hapo bungeni kwao hakuna uchawa, hakuna mambo ya kuomba muongozo, hakuna comedy, hakuna kupoteza muda! Hili bunge lao ukilinganisha na hili...
  15. Etwege

    Binadamu mweusi ndiye aliyebarikiwa zaidi duniani

    Watu weusi ndiyo binadamu waliobarikiwa zaidi duniani baada ya kuumbwa na kuwekwa kwenye bara bora zaidi na lenye kila kitu la Afrika. Mabara mengine ni hovyo sana, kuna majira ya hurricane, snow, joto kali sana la kuuwa watu na baridi kali sana kugandisha watu. Afrika ndiyo bara pekee...
  16. M

    Yupi ni ripota wako bora hapa kwetu unaemkubali katika vita zinazozungumziwa zaidi duniani?

  17. Chance ndoto

    Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  18. B

    'El Mencho' auawa huko Mexico. Ni bosi wa cartel aliyekuwa kiongozi wa kundi la wahalifu maarufu

    22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026 https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0 Nemesio...
  19. Yoda

    Kwanini watu weusi ndio wanaoongoza kubaguliwa zaidi duniani?

    Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi? Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu. Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu...
Back
Top Bottom