yesu

  1. Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  2. F

    Jana nilikutana na Yesu Manzese

    Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi...
  3. L

    Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Picha hii ilipigwa na Sista Anna Ali mwaka 1987 kutoka Kenya. Sista alitokewa na Yesu mwenyewe,akamuomba Bwana wetu ampige picha,Bwana Yesu akamkubalia . Hii ni kweli. Hakuna kisichowezekana kwa Mungu Kumbukumbu zipo. Picha ya Muujiza ya Yesu Inayodaiwa Kupigwa na Mtawa Picha inayosambaa...
  4. Je,ni kweli wakiristo wanamfuata Yesu?

    Leo nitasema kuhusu ubatizo. Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni; Yesu alimuamini Yohana kuwa ni mtume. Na Yohana aliwambia atakuja nabii atawabatiza kwa roho...
  5. Aliecheza kama yesu aomba watu waache kumuabudu "Mimi sio Yesu"

    Brian Deacon, mwigizaji mashuhuri wa nchini Uingereza aliyetokea katika familia ya kawaida ya fundi magari na muuguzi mjini Oxford, amejikuta katikati ya mjadala mzito wa kiimani duniani kote. Akiwa kaka mkubwa wa mwigizaji Eric Deacon, Brian alipata umaarufu mkubwa mwaka 1979 baada ya kuigiza...
  6. Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo yafuatayo: 1. Watu wengi watakuja kwa Jina lake wakisema wao ni Kristo. Katika nchi mbalimbali...
  7. Aliecheza kama Yesu kwenye movie ya passion of the christ ageuka kuwa mfalme Herode

    Muigizaji Jim Caviezel, aliyewahi kuigiza nafasi ya Yesu Kristo katika filamu The Passion of the Christ ya mwaka 2004, sasa anarudi kwenye ulimwengu wa simulizi za Biblia akiwa na nafasi tofauti kabisa, kama Mfalme Herode katika filamu mpya Zero A.D. Katika The Passion of the Christ, Caviezel...
  8. Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

    Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha? Unamhitaji Yesu ndugu...
  9. Yesu Kristo atarudi lini ?

    Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
  10. Walioishi kabla ya Yesu na Muhammad wamepotea ?

    Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ? Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida bila wao?!
  11. Yesu anaweza kuizuia El Niño. Ukweli huu hapa!

    Tumeishasikia wataalamu wa hali ya hewa wakisema El Niño kali yaja. Na wameonya tayari kwamba El Niño ya mwaka 2026 imeimarika na inatarajiwa kuwa na nguvu sana. Hali hiyo inaweza kusababisha mafuriko makubwa na kuharibu makazi, barabara nk. Tunashukuru wenye mamlaka wameishaanza maandalizi ya...
  12. Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

    Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi. Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
  13. R

    Masaa 24 ya Yesu. Are there contradictions??

    https://youtu.be/w_xSYuJi3ms?si=zNIJLfDo_Jxfouua
  14. Kufanya Mambo Yanayolipinga Jina La Yesu Kunaweza Kukupelekea Ukawa Mtumishi Wake

    Matendo 26:9 NEN [9] “Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti. Wapingaji wa uwepo wa Mungu ni wengi, wanaolikataa jina la Yesu ni wengi, wanaopinga Injili ya kweli ni wengi, wanaokataa kumwamini Yesu ni wengi. Mtume...
  15. Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  16. M

    Je, nini kingetokea endapo Yuda asingemsaliti Yesu?

    Je endapo Yuda asingelimsaliti Yesu nini nini kingetokea katika mpango wa wakovu wa mwanadamu?
  17. Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

    Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu. Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza...
  18. Inawezekana kufuata mafundisho ya Yesu Kristo na kuwa Mkristo katika dunia ya sisia?

    Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo. 1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe 2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako. 3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine 4. Kusamehe saba mara sabini 5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji. Haya...
  19. Mafundisho makuu ya Yesu aliyofundisha ni yapi ?

    Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
  20. J

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21. Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi. Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…