yesu

  1. U

    Nimebishana sana na huyu Msabato asubuhi Leo kati ya Yesu Kristo na Sheria kipi kinaanza, Yeye anadai eti sheria ila mimi nimewaambia ni Yesu yeye hat

    Wadau hebu nisaidieni. Mwana damu anaokolewa kwa sheria au kumjua Yesu Kristo? Nipe majibu haraka nimalizane na huyu msabato chapu
  2. Yoda

    Yesu alikuwa wapi na anafanya nini kwa miaka 30 ya ujana wake ?

    Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia. Ni kweli alikuwa anafanya kazi kama fundi seremela au ujenzi akisaidiana na Joseph baba yake mlezi ? Kuna...
  3. Yoda

    Yesu alimaanisha nini waache wafu wazike wafu wao (Luka 9:60) ?

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.” Huu msemo ulimaanisha nini ?
  4. comrade_kipepe

    Ndugu Nassib amkiri Yesu kua Mwokozi wa maisha yake

    Kijana huyo anayeimba nyimbo za bongo flava, ameonekana akifurahia kukutana na rafiki yake kutoka Nigeria Bw. David. Akiwa na msalaba shingoni Kwa story za chini chini inasemekana alishabadii DINI na kua mkristo kwani alionekana kupendezwa na DINI hiyo akiita ni ya "wanyamwez" ikafikia hatua...
  5. Wakusoma 12

    Ama kweli Lisu ni wa kipekee sana kama ambavyo Yesu alihukumiwa kimakosa naye pia Ahukumiwa siku moja na Paul Mackenzie mhalifu wa kweli

    Hii kiroho imekaaje wakuu? Namba hazidanganyi wakuu.
  6. J

    Kwa Hotuba hii ya CJ, wazi kwamba hawa wanaolishwa mafundisho ya Yesu watamuumiza Kichwa Mh. Rais

    Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
  7. L

    Paul Makonda: Ubabe Wangu Wote Unatokana Na Kuwa na Yesu. Huwezi Kuwa Mbabe kama Mimi Bila Kuwa na Yesu ndani Yako

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo Ni Maneno yaliyotamkwa kwa Ujasiri na kujiamini na Mwamba Wa Kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda Jabali la Siasa Ambaye Hajawahi kupoteza Pambano wala Vita ya Aina yoyote ile aliyopigana. Mwamba Paul Makonda Amesema Ubabe Wake Wote Unatokana na kuwa na Yesu ndani...
  8. R

    Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  9. M

    Video ya Mchanga wa Mnyayo wa YESU unauzwa laki 1?

    Dah.. wanunuzi wamo maprofessor, madkt, engineer nk
  10. Ibilisi Mjalaana

    Mungu Yesu amuua padre mchana kweupe Ecuador

    Mambo kwa ushaidi
  11. Ibilisi Mjalaana

    Kwa mara ya kwanza Mungu Yesu kajitetea mwenyewe

    Padri alikua anaongea porojo akaamua ampe dozi hadi kufa
  12. Frank Wanjiru

    Kikwete: CCM ipo pale pale mpaka Yesu atakaporudi(Kumbukizi)

    Ni maneno ya Rais Mstaafu awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete.
  13. IIT MWASISI OS

    Fumbo la Imani, DNA ya Kiungu, na ndoto ya dunia moja mababu wa Yesu na tabia zao

    FUMBO LA IMANI, DNA YA KIUNGU, NA NDOTO YA DUNIA MOJA Uchambuzi wa Kifalsafa Juu ya Paradox za Kidini na Usalama wa Ubinadamu UTANGULIZI: Mshtuko wa Kihistoria Unapoingia ndani kabisa ya uchunguzi wa maandiko ya kale, unakutana na jambo la kushangaza sana linaloshtua akili ya kawaida. Wakati...
  14. USSR

    Mwana wa kiongozi wa Kiislamu wa Saudi Arabia aokoka na kumkili Yesu kuwa mwokozi

    MWANA WA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU SAUDI ARABIA AMGEUKIA YESU KRISTO BAADA YA NDOTO YA AJABU: “NILIPOTEZA MENO 13 KWA SABABU YA KUMFUATA YESU!” Ahmed Joktan, raia wa Saudi Arabia aliyekuwa Muislamu mwenye msimamo mkubwa wa kidini, anasimulia ushuhuda wake wa kumwamini Yesu Kristo licha ya...
  15. J

    Uchakachuaji wa hadithi ya Yesu - Injili ya Marko

    Bringing the Celestial Superjew Down to Earth Ingawa katika sehemu kubwa ya historia ya Ukristo, Injili ya Mathayo imepewa nafasi ya kwanza, heshima hiyo kwa kweli inapaswa kwenda kwa Injili ya Marko. Hii ndiyo Injili fupi zaidi na yenye simulizi rahisi zaidi kuhusu Yesu. Simulizi la Marko...
  16. Yoda

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi kihistoria aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani. Hata Atheists na Agonistics wanaamini Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kama jambo halisi la historia. Mudi bora...
  17. goldcall

    Kama ulisikia Yesu anarudi na hakurudi, basi ndiyo anarudi sasa

    Kichwa cha habari kipo katika kukuamsha wewe ndugu, rafiki, jamaa, mzee, kuwa Yesu yupo malangoni kuja kulichukuwa kanisa, Tupo karibu sana, na ile dhiki kuu, mpinga Kristo anasafishiwa njia sasa, dalili iliyo kuu ni hii! kuwapumbaza watu makanisani kupitia harufu mbaya inayo chafua uwepo wa...
  18. Design Your Idea

    Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe

    Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
  19. Design Your Idea

    Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  20. F

    Jana nilikutana na Yesu Manzese

    Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi...
Back
Top Bottom