yesu

  1. H

    Yesu wa waisrael yuko wapi ktk vita yao dhidi ya WAIRAN?

    Habarini, Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
  2. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa

    Yesu Kristo ana nguvu sana. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake. https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
  3. Taifa la ISRAEL halitambui Ukristo; na hata Yesu wanamuona ni "MHAINI".

    Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
  4. A

    Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  5. Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  6. Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  7. K

    Mwanamke wa Busia atimuliwa kanisani baada ya kujitangaza ni ‘Maria Mama wa Yesu’

    Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa Roho Mtakatifu na kusikia sauti ya Yesu ikimwita. “Niliuona mwanga ukitoka angani ukishuka...
  8. Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  9. Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  10. C

    Paulo wa Tarso aliebuni Ukristo Baada ya Yesu

    Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya...
  11. Judith Nafula kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu

    Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu. “Mama aliniambia kwamba wakati ninazaliwa nilikuwa mzungu, ni nywele tu ndizo zilikuwa nyeusi. Madaktari walishangaa Mwafrika...
  12. Hata Yesu angezaliwa Tanzania,watawala wangemsulubu msalabani

    Sioni tofauti ya utawala huu na wa mfalme herode
  13. R

    Ninyi wahubiri wakristo hebu sasa acheni kutuaibisha. Yesu alikuwa anakemea mapepo masaa na na masaa au ilikuwa ni AMRI MOJA, ONDOKA?

    Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k. Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
  14. Kwanini Yesu ana majina mengi kila nchi (Jesus, Yesu, Emmanuel, Yoshua, Jisos, Jesu, Issa)

    Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti! unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
  15. Hii nguvu anayoitumia Gwajima kwenye Mambo ya KIKAISALI angeitumia KWA YESU uislam na upagani nchini ungebaki 1%

    Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito. Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza...
  16. H

    Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  17. Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  18. Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  19. Tunamuombea Ambaye alisema Yupo mpaka Yesu atakaporudi apate fursa ya kwenda kumsalimia kukidhi matarajio yake

    Maombi rasmi ni kwamba aendelee na dharau na kufuru wao wapo hadi siku ya ujio wa Yesu kristo.
  20. Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…