yas

"The Duck Yas-Yas-Yas" or "The Duck's Yas Yas Yas" is a hokum jazz-blues song, originally recorded by James "Stump" Johnson, but the most well known version was recorded by Oliver Cobb and his Rhythm Kings. The song is perhaps best known for the lyrics:

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    Admin wa NIDA, TANESCO ,YAS, AZAM PESA, NGORONGORO na HESLB yupi anakukuosha zaidi?

    Mjadala wa kusisimua umezuka mitandaoni huku wananchi wakitaka kujua ni nani hasa kati ya Admin wa Ngorongoro, Nida, na Tanesco, Yas, Heslb, na Azam pesa anayewapa raha au kuwakosha zaidi kupitia staili zao za kipekee za kuwasiliana na umma na jinsi wanavyojibu comment za wateja wao. Je yupi...
  2. Keyboard_Warrior

    Kampuni ya mtandao wa YAS imeajiri matapeli!?

    Leo nimepigiwa simu na tapeli aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka makao makuu ya kampuni ya mtandao wa YAS, baada ya salamu tapeli huyo ananitishia kuwa laini yangu ya simu itafungwa baada ya muda mfupi. Nikamjibu fungeni tu wala hamna tatizo, nitasajili laini nyingine. Alichonijibu...
  3. Troll JF

    Kuna namna Vodacom speed yao ya internet umepungua ukilinganisha na YAS

    Wakuu mimi nilikua user wa vodacom taangu 2008 lakini hivi karibuni nilikua nikipata usumbufu wa internet kuwa slow nikawa nafanya trial leo nimejiunga na internet ya YAS naona iko faster nimeiwasha Vodacom kwa sababu ni line yangu basic na itakua kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu.
  4. A

    KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

    Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima. Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
  5. A

    KERO Malipo yaliyokwama kwa Yas kwa zaidi ya saa 24 yananiongezea gharama zisizo za lazima

    Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana. Sina fedha...
  6. T

    Malipo ya mawakala wa B2B wa kampuni ya Yas kutolipwa kwa wakati

    Ndugu wanajamii, Leo nasimama mbele yenu kuzungumzia jambo linalowagusa moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Suala hili ni la msingi kwani linahusu haki ya kila mfanyakazi — haki ya kulipwa kwa wakati kwa jasho na juhudi zake. 1...
  7. Bird Watcher

    Kongole Yas, Vodacom Fanya ivi na nyie

    Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline ila pia uliyempigia akiwasha simu unaletewa pia ujumbe kuwa mteja uliye karibu kumtafuta kwa sasa yupo...
  8. 5

    Gawio la Yas halifai kwa sisi waislamu

    Watu wa ukumbi huu toka juzi naona tunapata gawio la YAS wanaita HALAL, hizi ni hela ambazo binafsi sijui zinatoka wapi wala kazi ipi nilifanya mpaka nikapokea malipo haya, kwa lugha rahisi hii ni riba na kwa sisi waislam riba imekatazwa kwa mujibu wa Imani yetu ya Dini ya Kiislam, YAS waache...
  9. A

    KERO Ucheleweshaji wa malipo kwa Mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wa Yas Tanzania

    Ndugu wanajamii, Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki ya kila mfanyakazi, kulipwa kwa wakati kwa kazi na juhudi alizozitoa. 1. Hali ya Tatizo Kwa mujibu...
  10. Vien

    HOJA Ifike mahali Vodacom na Airtel waige mfumo wa Yas kwenye Merchant Account

    Kuna wakati ushindani unatakiwa ukubali ukweli. Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi. Nimekuwa nikitumia Merchant Account za Yas, Vodacom na Airtel kwa biashara zangu, na kwa uzoefu wangu, upande wa Merchant Account...
  11. Mu7

    MIXX BY YAS na misemo ya kihuni

    Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma? Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao usemao: JAZA UJAZWE. Huu msemo una ukakasi wa kihuni/kingono. Sasa wamejibadili jina na kuwa Mixz by...
  12. A

    DOKEZO YAS wanatumia pesa za wateja za YAS Kibubu kuweka fixed

    Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0. Lakini wanadai pesa ipo haijatoka ila kuna shida ya mtandao leo siku ya 7 na ni pesa ya matibabu Mama angu kalazwa sina pesa nyingine...
  13. Think2

    Yas kwanini mnafungia huduma laini ikikosea kuingiza vocha ?

    Yas matrako yenu nimenunua vocha za 5000 niunge bando ile namaliza kuingiza niunge bando naambiwa sina salio la kutosha kuuliza salio wanasema nina 4000 Nikaanza kurudia vocha moja moja lakini wapi nimewapigia wanaongea ungese mwingi mwingi wanadhani hela tunaziokota Naomba mwanasheria mzuri...
  14. A

    KERO Serikali imekisahau Kijiji cha Olchoronyori - Wilaya Simanjiro, huku hakuna Vodacom, Yas wala Airtel

    Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
  15. Kitimoto

    Mwamba Mwamba - Mixx by Yas

  16. Wakili wa shetani

    Haiwezekani kuzuia makampuni kubadili majina. Kama Tigo ilivyoenda kuwa Yas?

    Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
  17. srinavas

    NAFASI ZA KAZI YAS - DIRECT SALES AGENTS

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home Fiber, Mjasirianali Box, SME KINARA na zingine nyingi.. Zote hizi ni bidhaa za Yas Business Ajira hii...
  18. D

    YAS Postpaid Bundle

    Habari wakuu. Naunganisha vifurushi vya YAS POSTPAID vipo unlimited na ambavyo sio unlimited kwa kila mwezi. Pia nauza na device(ROUTER) Hiyo kubwa ni Tshs. 250000 Hiyo kubwa ya kati ni 105000 Hiyo pocket Wifi ndogo ni 50000 Package zake ni Unlimited kama ifuatavyo Pia nina bando za kawaida...
  19. At Calvary

    Unlimited za Yas, Speed test

    Habari za kazi Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani. Dar, kwa sasa.
  20. Amydiz

    Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
Back
Top Bottom