yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† ASFC โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šPolisi TZ ๐Ÿ“† 20.02.2024 ๐ŸŸ Azam Complex ๐Ÿ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussaโšฝ๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  2. Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi. Ali Kamwe amesema, "Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐™๐š๐ข๐๐ข .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
  3. Kocha Al Ahl: We will play against Yanga and Madeama like never before

    "We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.โ€ โ€” Marcel Koller Al Ahl coach My Take Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
  4. Kwanini Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoenda tu Uwanjani kutizama Mechi Yanga SC husumbuka mno Kimatokeo, ila akienda ni uhakika 100%?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Replies ( Mirejesho ) yenu kutokana na Mada husika.
  5. FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

    NBCPremierLeague ๏ธ KMC SC Vs Yanga SC 17.02.2024 Jamhuri Morogoro 10:00 jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC Mpira umeanza dakika ya 1 Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga KMC 0-1 Yanga Dakika ya 10...
  6. G

    Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

    MADA IMEFUTWA / THREAD CLOSED
  7. Mechi ya Yanga vs CR Belouizdad ianze saa tisa Dar kama Mamelodi anavyoruhusiwa kucheza na Waarabu Afrika Kusini

    Waarabu mchawi wao jua tu Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
  8. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe acha Kutulazimisha tunaokuheshimu tuanze Kukudharau kwa huu Upuuzi wako

    "Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote Vinachacha na Vitachacha. Yanga SC tutaendelea kucheza Ligi na kucheza Mechi za Kimataifa ili...
  9. Yaliyomkuta Ngasa, Ajibu, Domayo na sasa Fei na Mayele na uwepo wa Majini Yanga

    Tuhuma za Yanga kutupia majini wachezaji wake imenikumbusha nyuma kidogo. Imenikumbusha nyakati kina Ngasa, Ajibu, Domayo, Niyonzima (orodha ni ndefu) wakati wanaondoka Yanga. Wakiwa kwenye piki wakataka kwenda kwingine kutafuta maisha mazuri zaidi ya waliyopata Yanga. Wote hawa walitamani...
  10. Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  11. Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

    Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu...
  12. Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
  13. D

    Hawa marefarii watatu hawastahili kuamua tena mechi za Simba au Yanga

    Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii! Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi! Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale! 1. Jonesia Rukya Huyu...
  14. Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

    Habari njema Tumeipokea kupitia Ujumbe wa Rais wa Club: Injinia Hersi. Uwanja utajengwa kwa Udhamini wa moja kwa moja wa GSM. #Daimambelenyumamwiko#
  15. R

    Je, TFF, Simba na Yanga katiba zao zinawakataza kutoa salamu za pole kwa wanasiasa wanapofariki?

    TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na utamaduni huo. Waache kujikita kwenye michezo wajihusishe pia na jamii kwenye mambo Mtambuka...
  16. Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
  17. Yanga sc yaja na kituko cha mwaka yatengeneza mask ya mabox.

    Katika hali ya kushangaza kabla ya yanga sc imemtegenezea mchezaji wake mask huku wakitumia materials za mabox na sruu. Haki hii imewapelekea wadau mbalimbali wa michezo nchini kushikwa na butwaa.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
  18. M

    Kwa nini Yanga inakuwa na wachezaji wanaoamini sana ulozi?

    Ukiachana na ile ya kuchoma moto kule Afrika kusini ambao ulikuwa ni upuuzi lakini sijawahi kuona wachezaji wa Simba wakitoa taulo au kufukua kwenye lango la mpinzani hata waattempt mara 30 bila goli. Kwa Yanga imekuwa kawaida sana kuwa na wachezaji wanaoamini ulozi wazi wazi. Kipindi cha nyuma...
  19. Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

    Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga. Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila...
  20. Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ