Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9.
Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda. Hii siyo tu inakatisha tamaa, bali pia ni aibu kwa taifa kama Tanganyika, lenye historia ndefu ya...
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa.
Cha...
Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu.
Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni...
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.
TFF imekosea sana...
Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea...
TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa.
Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
Kwa miaka mingi, Ligi Kuu Tanzania Bara imeonekana kama ni jukwaa la timu mbili—Simba na Yanga—ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikinufaika na mfumo uliopo, huku timu nyingine zikipambana bila mafanikio makubwa kutokana na mazingira yasiyo na usawa.
Lakini sasa upepo wa mabadiliko...
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa
"Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION
BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI.
Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote...
Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon.
Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “..., (he) alleges that many government administrations have distorted facts and manipulated the media to...
Wakuu
hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF?
===
Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe.
Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
Taarifa kutoka TFF
--
TAARIFA
Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba.
Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema.
Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.