yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. K

    Yanga Yafanya 'Maangamizi' Ya Kimbari,yamlamba KMKM 2-0.

    Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM. Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
  2. libeva

    TFF na Wizara ya Michezo mdhibitini Hajji Manara ndiye kichocheo cha chuki uhasama wa Simba na Yanga

    Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha...
  3. geofreyngaga

    Mtibwa vs Yanga

    Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa 2" Sasa nasubiri 90mins nimnywe 2!!
  4. N

    Simba vs Yanga tarehe 18/10 itawezekana kweli?

    Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje? TFF waliliangalia hili, angalau wao utopolo wachezaji wao hawahitajiki huko kwao hata shikalo hahitajiki tena Harambee stars. Hata yule...
  5. JFK wabongo

    Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani. Kwanini tuuite Jakaya Kikwete? Jibu: Ni rais...
  6. GENTAMYCINE

    'Yanga WhatApp Makao Makuu' niombeni Radhi na pia Muuombe Radhi Mtandao wa JamiiForums kwa Kukopi 'Uchambuzi' wangu pasipo kutoa 'Credit' kote kote

    Wiki mbili zilizopita hapa hapa Uwanja wangu wa 'Kujidai' katika huu Mtandao wangu pendwa kabisa wa JamiiForums nilikuja na 'Uchambuzi' wangu wa Kuwahusu Wachezaji Wawili wa Wapinzani wangu (wetu) ambao ni Yanga SC juu ya Wachezaji Wao wawili mahiri Mshambuliaji Michael Sarpong na Kiungo...
  7. F

    Molinga falcao kusajiliwa na timu kubwa ya Zesco ni aibu kwa ma scout wa Yanga. Mkwassa hii ni aibu kubwa

    Papaa molinga yanga wamemsema sana.. ila timu kubwa ya zesco imeamua kumsajili.. Ikatokea molinga akafanya vizuri zesco.. scout wa yanga pamoja na viongozibmkwassa na msolla watawajibika yanga. Mimi kama mwanayanga sitawaelewa milele.. Maana Kalinyo yule nahisi tumepigwa.
  8. K

    Hatimaye Yanga yaporomoka mpaka nafasi ya 4

    Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 4, hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G, hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko krmpotic kwa kuwa Yanga Afrika haijawahi kugusa nafasi hiyo Kwa takribani miaka 2 nyuma. Kongole Yanga
  9. K

    Hatimaye Yanga yatinga kileleni

    Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma. Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu wa ligi hiyo utakapokamilika. Hii ni hatua kubwa kwa Yanga...
  10. Kipenzi Changu

    Penati ya wazi waliyonyimwa Kagera Sugar dhidi ya Yanga

  11. A

    Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

    Habari wana Jamiiforums Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa mpira wajionee kabumbu nzuri na ya kuvutia kutoka kwa Mabinga wa kihistoria. Na hiki ndicho kikosi cha...
  12. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC hebu 'tuchangishane' upesi 'tukamlipie' Msemaji wetu Hassan Bumbuli 'Faini' yake TFF kwani GSM na Injinia Hersi ni kama 'wamemtosa' vile

    Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na 'tumkabidhi' Msemaji wetu Hassan Bumbuli ambaye Klabu yetu ya Yanga na hadi 'Wadhamini' wetu GSM chini...
  13. The suspender

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  14. magnifico

    Kwanini Simba na Yanga hazichezi saa nane mchana?

    Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze? Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
  15. A

    INAUZWA Fremu za timu mbalimbali zinauzwa

    Fremu hizo moja 25,000/= ukichukua mbili 40,000/= Fremu za A4 ni 15,000/= Unafikishiwa Hadi nyumbani. Lakini pia Kama unahitaji fremu ya picha tofauti na hizo. Unasema tunakutengenezea kulingana na mahitaji yako. Call/WhatsApp/SMS +255743978475
  16. A

    Manchester united and Yanga frames

    Picha za ukutani zenye upana wa 30 cm na Urefu wa 40 cm , au unaweza kusema A3. Gharama yake 25,000/= A4 ni 15,000/= Ukitaka picha yoyote ya ukutani special for you, pia tunakutengenezea. Delivery tutafanya pia. Tuwasiliane +255 743978475 Instagram kanvas.co.tz
  17. A

    Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

    Habari wana Jamiiforums Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa mikia wajifunze na waweze kuona mpira wa ukweli na usio na makandokando. Na ichi ndicho kikosi cha...
  18. Slim dady

    Kwa mashabiki wa Yanga

    Kwa wale washabiki wa Yanga na baadhi ya watangazaji wanaolalamika kuhusu habari za Yanga kutopostiwa kwenye pages za CAF Champions League Kwanza mnatakiwa mfahamu kama haushiriki mashindano ya CAF CL au Confederation Cup huwezi kupostiwa Mfano ukipitia page ya UEFA kwa msimu ulioisha huwezi...
  19. This is...

    Yanga Ni timu mbovu kwa viwango vyote

    Wakuu,saluti kwenu.naamini wote jana mlishuhudia mechi mbili tofauti za watani wa jadi.Wakati naangalia mechi ya mnyama mkali na Ihefu nilishangaa mashabiki na wapenzi wa Yanga wakibeza matokeo ya Simba kwamba imeshindwa kupata angalao goli nne kwa timu ndogo iliyopanda daraja msimu tena kwa...
  20. mugah di matheo

    Yanga vs Prison kwa Mkapa VPL 2020/21

    Mechi live kila mwenye access atupe updates Kila la heri asukile uwanyooshe jiesm ======== Kipindi cha Kwanza Goal dk ya 7 Lambart nje ya 18 anawatanguliza Prisons Yanga 0-1Tanzania Prisons
Back
Top Bottom