yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    Hivi Wanachama wenzangu wa Yanga SC tunasubiri nini Kumbutua (Kumuondoa) Injinia Hersi na GSM yake?

    Hakuna asiyejua kuwa All - Rounder ni mwana Yanga SC tena mwenye Umiliki wa Kadi yangu namba 357....13. Nawaombeni wana Yanga SC wote mlioko JF hebu kuanzia Kesho Alhamisi tuungane Jangwani ili tushinikize GSM na Injinia Hersi watuachie Time yetu haraka iwezekanavyo. Nataka tuwalazimishe hawa...
  2. Yanga jikiteni zaidi kwenye mabadiliko ya timu sio ubingwa.

    Msipokuwa makini kuna kila dalili ya kukosa vyote, ubingwa na mabadiliko ya mfumo wa club. Nionavyo mimi tumieni nguvu zenu nyingi kufanikisha mageuzi ya mfumo wa uendeshaji wa klubu yenu badala ya kufarakana wakati wa kuutafuta ubingwa wa msimu huu unaokaribia kuwaponyoka. Waambie mashabiki...
  3. N

    Fiston na Kisinda waleta raha mpya jangwani yanga

    Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao...
  4. M

    Kwa tuliomsikiliza aliyekuwa Kocha wa Makipa Yanga Mburundi Niyonkuru katika Kipindi cha Kipenga Extra EA Radio leo, Mchawi wa Yanga SC hajajulikana?

    "Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya" "Na ni Kiongozi huyo huyo pia amekuwa na tabia ya kuja Kwangu Kocha wa Makipa na mpaka kwenda kwa Kocha...
  5. Historia ya Simba na Yanga

    Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. Lengo sio kutaja...
  6. Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

    Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
  7. Yanga mrudisheni Zahera haraka

    Kama Zahera ataifundisha Yanga isiyotembeza bakuli yenye wachezaji kama hawa walioko sasa, mtaona maajabu ya Mussa.
  8. Mapendekezo ya kuisaidia Yanga kuinua kiwango chao cha soka yanahitajika

    Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote kuhusu soka na sidhani kama alifurahia kazi aliyopewa . Tunawaomba wapenda soka hata kwa gharama zenu...
  9. Yanga dhidi ya Polisi: Nani angefanya nini ili Pius Buswita asifunge goli lile?

    Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti. Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop!!. Matokeo kwenye round ya pili ni hayahaya tu kwa timu zote hasa baada ya timu kufanya makosa ya...
  10. Kipindi Simba wanaanza kujipanga kwa ajili ya Msimu huu wa Ligi, sisi Yanga...

    Tulikuwa busy sana na kuandaa namna ya kuwabeba akina kisinda, Sarpong, Hersi, Mukoko n.k hii ilinipa shida kiasi kikubwa sana kwa ile imani kuwa tumesajili team kabambe na hakuna team ambayo itatuzuia. Huu wazimu nikikumbuka huwa naumia sana maana nilikuwa mmoja ya watu ambao walipinga sana...
  11. F

    Mchawi wa Yanga ni mfumo wa uongozi. Msolla na Mwakalebela waondoke kwanza

    Habari wadau, Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze. Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya. Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa caf champions league mapema kuliko yanga yangu kwa staili yetu ya kuwapa vyeo kina Msolla. Wazee...
  12. Tatizo la Yanga ni "kujilinganisha na Simba"

    Wakuu Kwema? Nimekaa nimetafakari nimeona wacha niwasaidie hawa watani zangu. Afande Sele aliwahi kuuliza "Mfano Yanga Ikifa Simba itacheza na Nani?", hivyo hata kama ni Mwana Msimbazi sio vibaya nikiwasaidia. Ligi Kuu ina timu 20. Ukiiondoa Simba S.C hakuna timu katika 18 zilizobaki...
  13. Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

    Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.
  14. Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

    Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi. Hii tabia ya utani wa jadi ya kukomoana imesababisha Yanga kuokota jasusi la msimbazi wao wakidhani wanaikomoa Simba kumbe...
  15. Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  16. F

    Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

    Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
  17. K

    Kwa Mara Ya Kwanza Naiona Yanga Inayoitakia Mema Timu Ya Simba...!

    Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..! Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda...
  18. Yanga ina tatizo la kocha, wachezaji au viongozi?

    Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia. Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa Yanga?
  19. Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  20. Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

    Baada ya mzunguko wa kwanza Yanga kuifunga Coastal union bao 3-0, leo Coastal Union wamesema wanachezea heshima kwa uwanja wake wa nyumbani na kocha Mgunda amejigamba atakuwa wa kwanza kuifunga Yanga msimu huu. Yanga inahitaji matokeo kuendelea kujiweka vizuri kileleni lakini uwanja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…