yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Siri ya Kunasa Wateja kwenye Biashara yako yafichuka

    UTANGULIZI Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au huduma yake na wana uwezo wakununua. MAANA YA KUUZA Kuuza ni kitendo cha kubadilishana hisia kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya yako

    ~~Ini ni kiungo kinafanya kazi kubwa sana mwilini ya kuchuja sumu na damu na kuondoa sumu kutoka kwenye mmeng’enyo wa chakula ili kiende mwilini kufanya kazi. 1️⃣.Ugonjwa wa ini unaotokana na Virusi kama hepatitis A, hepatitis B, na hepatitis C 2️⃣.Ugonjwa wa ini unaotokana na Madawa, Sumu...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Moyo wako; Siri ya mafanikio yako

    Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya. Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Umechoshwa na Computer yako kuwa nzito? Suluhisho ili hapa

    Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida. Sio bei kubwa mdau wangu, ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664
  8. JamiiForums Tanzania Mapambano ambayo yapo mbele yako

    MAPAMBANO AMBAYO YAPO MBELE YAKO! Anaandika, Robert Heriel Kabla sijaenda mbali, niseme maisha yanahitaji roho ngumu ya ustahimilivu, bila roho ngumu haya maisha yatakutoa Knockout katika hatua za awali kabisa Labda niweke hivi; 1. Kuwa hodari na jasiri. Usiwe muoga oga, kwenye maisha huna la...
  9. JamiiForums Tanzania Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

    Wakuu, Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana. Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe. Facebook Twitter iPhone📱 iPad Android Alibaba Apple App Store Uber Airbnb...
  10. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Ulimi (Maneno) katika kuamua hatma ya maisha yako

    Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mashirika yako vizuri mpaka raha yani

    Kuna NGO nilifanya nao first interview last week kwa njia ya zoom meeting,sasa juzi wakanipigia kuwa leo niende kwa second interview pale ofisini kwao mikocheni. Tulikua mtu kama 8 au 7 hivi kama sikosei.tumepiga interview mpaka saa 7 mchana,sasa kila msailiwa alikua akitoka kwenye chumba cha...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie mfumo wa kijiditali wa kuendesha biashara yako

    Karibu tuongee. Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani. Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake kuaibisha wanaume wenye maumbile madogo (vibamia), ikiwa ni kaka yako kazaliwa na hivi utajisikiaje?

    Na hii ni matokeo ya utandawazi unaofanya wanawake wa dunia ya sasa kuanza mapenzi wakiwa mabinti wadogo kabisa, hivyo kupelekea kumjua zaidi ya mwanaume moja. Sasa unakuta huwa wakikutana na mwanaume mwenye uume mdogo huwa ni rahisi wao kujua, Kwa hapa kwetu kwa hizi asili zetu za kibantu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  16. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

    Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania. Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni...
  18. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa na amani ndani ya moyo wako na maisha yako, basi fanya haya

    Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyaomba kwenye maisha yako pindi Tu utakapoanza kujitambua!

    MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO. Anaandika, Robert Heriel. Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
  20. JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…