yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

    Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa. Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa...
  2. JamiiForums Tanzania Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtindo wa maisha yako ndiyo afya yako

    MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi “Mitindo yetu ya maisha na mchango wake katika afya zetu” UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Machozi yako yananiliza

    Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Imarisha biashara yako

    FAHAMU JINSI YA KUTAFUTA SOKO NA MASOKO. Utangulizi: Kuwafundisha washiriki wote kufikiri ki- masoko na kuelewa baadhi ya mbinu za masoko kitu ambacho kitawafanya waelewe maana ya maneno “soko na masoko” pia utafiti wa soko na kuyafanyia kazi katika biashara/miradi yao. Soko ni nini? Soko...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
  7. JamiiForums Tanzania Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

    Mikono yako ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana kwenye maisha yako. Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko. Tuichunge mikono yetu kwa kuiombea, kuinawisha kwa maji ya upako/ ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni vitu gani ambavyo umezoea na unajua kuwa ni hatari kwa afya yako?

    Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu. Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile: Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hebu weka Caption yako hapa

    Naona kama Mtumishi anasema "Usiniache Nteseke hivi...!"
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

    Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Gwajima, tekeleza ahadi yako kwa wakazi wa Basihaya

    Ukiamua kutaja maeneo ya jiji la Dar es salaam yanayo athirika na mvua za kila mwaka huwezi kusahau kutaja eneo la Basihaya linalopatikana jimbo la Kawe. Basihaya ni miongoni mwa maeneo yanayojaa maji kila mwaka pindi msimu wa mvua unapofika. Barabara (Bagamoyo road) hufunikwa kabisa, maji na...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili yako

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana Wasiliana nasi kwa whatsapp 0717040837/0767267664
  16. JamiiForums Tanzania Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

    Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka. Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote. Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

    Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa. Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kitaleta bahati nzuri au jinsi ya kujua nambari yako ya bahati?

    Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia. Kwa tarehe ya kuzaliwa Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii. 1 -...
  19. JamiiForums Tanzania Numerology: Thamani ya tarehe yako ya kuzaliwa

    Chagua tarehe yako ya kuzaliwa kutoka 1 hadi 31 Nambari ambayo ni ya kwanza katika tarehe yako ya kuzaliwa inaashiria msingi, msingi wa kiakili wa utu na inaweza kutuambia kuhusu kile mtu hutoka katika uchaguzi wake. Mmoja anazungumza juu ya watu binafsi, wawili wanazungumza juu ya wanajamii...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maandalizi yako, mafanikio yako

    MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…