yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Kusitasita na hofu kunapelekea usiweze kufika katika hatma yako

    Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwajibika ni haki yako

    HAKI NA WAJIBU Kuwajibika ni haki Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote linalomaanisha sehemu ambayo watu hufanya kazi ili kujipatia chochote kitu cha kujimimu na maisha haya ya kila...
  4. JamiiForums Tanzania Methali na mahusiano yako

    Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo" "Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao". Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  6. JamiiForums Tanzania Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  7. JamiiForums Tanzania Kwako Juma Aweso na Wizara yako ya Maji

    Habari za mchana huu wadau wote wa jf? Poleni na mihangaiko ya kutafta pesa. Mtaani kugumu kweli, kila kitu bei juuu😆 Niende kwenye point! Wilaya ya Nkasi ni moja ya wilaya za mkoa wa Rukwa. Hii wilaya ina uhaba mkubwa sana wa maji. Mito ni mingi ila asilimia 90 ni mito ya msimu mmoja, yaani...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
  11. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanawake na mitandao, leo kwake kesho kwa dada yako au mpenzi wako

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hii ni sauti ya dada yako, rafiki yako naitwa Judith Kaunda, karibu unisikilize

    Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja. Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha yetu yako vichwani mwetu ila utekelezaji upo mikononi mwetu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako. Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
  17. JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…