yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya kujenga leo na kesho yako

    Kama kijana kuna wakati unapaswa kuutumia vizuri maana muda haumsubiri mtu, na muda ni rasilimali tosha. Niende kwenye hoja saidizi. 1- Jitahidi kuwa Mchaguzi (selective) Uchaguzi wa Vyakula + Vinywaji Uchaguzi wa Mavazi Uchaguzi wa Marafiki Uchaguzi wa Mtu utakayekuwa nae ktk Mahusiano...
  2. Kama timu yako ipo CAF Super League, usibabaishwe na mtu

    Just for your information Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc kutoka Tanzania, East Afrika. Kuna vigogo kadhaa tuseme 10 mpaka 15. CAF wamekaa wakaumiza vichwa...
  3. Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  4. Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  5. Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

    (Ramadan Kareem 🌙) Na, JumaKilumbi. 1. KULA AU KUNYWA WAKATI WA FUNGA Kitu chochote iwe kinywaji au chakula kikipita ktk koo la mfungaji huhesabiwa amefungua swaum. Hii haihusishi vile vinavyoishia kwenye ulimi bila kupita na kuteremka kooni. 2. KUFANYA MAPENZI WAKATI WA FUNGA, NA KUSISIMKA...
  6. Mama wa watoto wako ameishikilia hatma yako

    MAMA WA WATOTO WAKO AMEISHIKILIA HATMA YAKO! Anaandika, Robert Heriel Shahidi. Ujumbe huu ni Kwa Watibeli, wanaume na Wanawake wanaohitaji kuishi Kwa furaha katika Ulimwengu huu. Unapochagua MKE sio tuu unachagua Kiburudisho cha kukupa utamu kila usikiapo hamu ya ngono. Mke ni zaidi ya...
  7. Je, ungependelea kupokea Personalized Movies recommendations ndani ya Email Inbox yako 📨?

    Weekend ikiwa inakaribia, Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka. Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by...
  8. Kifurushi cha huduma za teknolojia kwa kampuni yako

    Je, wewe ni mmiliki wa kampuni ya kibiashara ndogo na ya kati? Je, katika Biashara yako unatumia teknolojia mbalimbali au unahitaji kutumia teknolojia mbalimbali?Kama Jibu ni ndio basi wasiliana nasi leo ili tuone ni namna gani tunaweza kufanya kazi pamoja. TUnawaletea huduma ya vifurushi vya...
  9. D

    Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu) 4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
  10. Uliuza nini kwa bei ya hasara ili utatue shida iliyo mbele yako?

    Katika harakati za utafutaji nakumbuka niliamua kutoka Singida kwenda Mbeya na baiskeli, nilikuwa sina hata mia mfukoni. Nilipofika Itigi baskeli ikapata pancha, jumlisha njaa nikauza simu yangu niliyo inunua 70,000 kwa 10,000, power bank niliyoinunua kwa 20,000 nikauza 7,000, nikapata pesa ya...
  11. Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

    "Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo. Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
  12. Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
  13. Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  14. Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  15. S

    Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  16. Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  17. Epuka kuandika matusi na maneno machafu kwenye Simu yako

    Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence. Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu. Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
  18. Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
  19. Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  20. Ndoto yako imetimia: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Chulalongkorn University

    Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Chulalongkorn University Thailand Government Scholarships 2023 Deadline: 31st May 2023 Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Click here to apply: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…