yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  2. JamiiForums Tanzania Eng.Hersi ulituahidi wanayanga tutaingia makundi huu mwaka. Tusipoingia hiyo 9/11/2022 naomba ujiuzulu nafasi yako

    Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga. Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Nabii Mzee na Nabii Kijana jinsi kinavyoweza kuimarisha Imani yako

    KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO Na Shemasi Jimmy 0659611 252 Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa. Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
  4. JamiiForums Tanzania Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Habari wana JF, Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo. Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kukumbatia lugha yako ni hatua ya kwanza ya kujiamini kitamaduni

    Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema “Maandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi kubwa katika kuunda na kuendeleza taifa la China." Yakiwa magofu ya kwanza ya mji mkuu katika...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipowaambia kuhusu makinikia, walimdharau. Yako wapi sasa?

    Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika. Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani + ujenzi

    4BEDROOM HOUSE DESIGN FIT 20X30M PLOT RAMANI + UJENZI CALL/WHATSUP +255624004650.
  9. JamiiForums Tanzania Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

    USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO. Anaandika Robert Heriel Baba Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba, Babu, Baba yake Babu. Babu yake Babu. Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
  10. JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni Godwin Gondwe hivi ile IQ yako Kubwa ninayoijua imepotelea wapi?

    Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu. Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
  11. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  12. JamiiForums Tanzania Macho yako yaniita kwako sioni kasoro

    Wakuu poleni na majukumu naombeni msaada was kupata hi nyimbo ya bongo fleva yenye mistari ''sura yako inaiita kwako...macho yakoyananiita kwako sioni kasoro...
  13. JamiiForums Tanzania Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  14. JamiiForums Tanzania Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo yako ya kuweka siri

    1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote. 2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako. 3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako. 4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa. 5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika. 6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio. 7...
  18. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  19. JamiiForums Tanzania Hamdu Shaka, hivi kazi yako haswa ni nini, kumsifia Rais Samia au kuelezea Itikadi ya CCM?

    Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji. Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
  20. JamiiForums Tanzania Je, na wewe Jumapili yako ya tarehe 16/10/2022 ilikuwa nzuri kama yangu?

    1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL). 2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City. 3. Sudan timu inayonivutia ya Al Hilal FC imeweza kuifunga klabu ninayoichukia kuliko hata ninavyomchukia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…