yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi. Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake. Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
  3. JamiiForums Tanzania Nisaidie mwanangu, muulize mama yako, kwanini ananinyima unyumba?

    Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini na Mzee Wangu tuyaongee, kwani shida ni nini? Basi, kwa kuwa Mzee Wangu ni mtu wa kupenda maji...
  4. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  5. JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaoifuata Nyota yako ni kina nani?

    WANAOIFUATA NYOTA YAKO NI KINA NANI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ni kina Nani hao? Unawajua wanaoifuata Nyota yako? Neno Nyota linaweza kuwa linachechemea katika fikra za watu wasioamini mambo ya Kiroho hasa ndugu zangu kina Kiranga, hata hivyo wao tutatumia istilahi...
  7. JamiiForums Tanzania Wekeza kesho yako iwe Njema Kwa Mola wako

    Ndugu zangu kama heading inavyojieleza. Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu. Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani...
  8. JamiiForums Tanzania Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

    Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Misingi mikuu unayotakiwa kuijenga kwa ajili yako au familia yako

    MISINGI MIKUU UNAYOTAKIWA KUIJENGA KWA AJILI YAKO AU FAMILIA YAKO Anaandika, Robert Heriel Mjenzi huru Andiko hili lamfaa mtu yeyote, wa umri wowote, wa jinsia yoyote, wa Hali na hadhi yoyote, wa mbari na jamii yoyote naam yeyote yule. Kwani kila nilichokiandika nimekipima, tena lugha...
  10. JamiiForums Tanzania Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

    Anza kwa kutazama clip hii⬇️ Then, mengine tutazidi kujuzana.... Ila kama upo interested sana basi waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 au ukapitia page yangu ya Instagram kujionea kwa kubonyeza link hii https://instagram.com/flameinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y= Hapo kama uonavyo ni mapazia...
  11. JamiiForums Tanzania Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

    Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote... Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests which were ultimately put down by government force. It comes after more than two months of protests...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
  13. JamiiForums Tanzania Usitengeneze kawaida dari la nyumba yako, karibu tukupendezeshee

    Wakuu Karibuni, Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa. "Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe...
  14. JamiiForums Tanzania Je, asubuhi yako inapambwa na kifungua kinywa kipi? Mimi lazima ninywe Alkasusus mujarabu

    Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu. nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina...
  15. JamiiForums Tanzania Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

    Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi. Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
  16. JamiiForums Tanzania Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

    WALIOPELEKWA HOSPITALI 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM 2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE 4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548 6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776 6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA 7. AMOS...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  20. JamiiForums Tanzania Eng.Hersi ulituahidi wanayanga tutaingia makundi huu mwaka. Tusipoingia hiyo 9/11/2022 naomba ujiuzulu nafasi yako

    Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga. Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…