yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

    Habari za leo wadau... Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
  2. JamiiForums Tanzania Nawapa wazo la biashara litakalobadilisha maisha yako 2023

    Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; - Biashara yenyewe Blog yake Youtube chanel yake Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela. Mfano:- We ni mkulima wa mboga mboga Anzisha youtube, kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Kama alioutumwani Messi na mbappe ndugu yako ni Messi endelea

    Wabongo washamba sana. Ibakie tuwashabiki na Mpira umeisha nilikuwa upande wa mfaransa wewe ajentina usiingize masuala ya utumwani Kwa kuwa kama alioutumwani Messi na mbappe ndgu yako sio Messi. Unaliona lijitu linafanana kabisa copyright na Upemakano yaani utadhani baba na mama mmoja Ile Toka...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Messi vs Mbappé fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umakini unahitajika kufuatilia utendaji wa Serikali yako na Taasisi zake, ujue wewe ni daktari sasa. Ona hili la HESLB

    Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa yako inarudishwa muda huo huo. Lakini hawa HESLB wanakata wanufaika wa mikopo Elimu ya juu kwa miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

    JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
  8. JamiiForums Tanzania Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Naanza na Mimi "Education, Discipline, Self-reliance"
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  10. JamiiForums Tanzania Nimetoa wimbo wangu, naomba support yako

    Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
  11. JamiiForums Tanzania Mama aliniambia Baba yako Amekufa!

    Dukani kwa Mangi nakutana na kijana mmoja barobaro hivi,anamwambia Mangi nipimie maharage,karanga, njugu mawe na nafaka nyingine mbali mbali huku anaendelea kuangalia orodha ambayo ametumiwa na mzazi mwenzake,ilikuwa na maandalizi ya kutengeneza unga WA lishe WA mtoto wao. Kilichonipeleka Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji Ali Kamwe na Yanga SC kwani kusema kuwa Bernard Morisson kagoma hadi alipwe chake mlichomkopa mnaogopa nini?

    Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa? Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja kuipinga/kupinga na kuonekana kama vile hali ni shwari, mkisahau kuwa wanaonipa hizi taarifa zenu nyeti ni wenzenu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi walipotea Kiakili na Kuchanganyikiwa Kitaaluma hasa katika Awamu yako 2005-2015

    "ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.” Chanzo: HabariLeo Acha kutupotezea muda wenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

    nataka tujuzane wakristo kwamba ndoa zetu hizi za kikristo zimekaa kinadharia sana kuliko kiuhalisia, sheria hazijajitosheleza na ndio maana watu hukimbilia mahakamani maana wanaona kabisa sheria za kikristo bado haziwezi kutatua hali zao. Ukristo unaweza kutatua tatizo hili bila kutegemea...
  15. JamiiForums Tanzania Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  16. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Fumbua macho yako

    Habari za muda huu ndugu wana Jamii Forums? Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu hili pendwa Tanzania, changamoto zipo ila cha msingi ni kuzishinda huku tukimtanguliza Mungu mbele. Napenda kujikita kwa mada huska kama ifuatavyo, Afya yako ni jambo la msingi sana. Afya yako kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…