yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

    Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO. Sababu. 1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda. (Ndivyo YALIVYO) 2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu. (Ndivyo YALIVYO) 3. Marafiki wengi wanamatatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Bariki fedha yako

    Amani iwe nanyi wana jamvi 🙏🏾 Nipo hapa kuweza kushirikishana katika namna bora ya "kubariki fedha zetu" Kuna waandishi wengi sana Duniani ila kuna huyu Nguri mwandishi Robin Sharma ambae kaandika zaidi ya vitabu 10 maarufu na kimoja wapo ni "NANI ATALIA,SIKU UKIFA?" Katika kipengele namba...
  3. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    ZINGATIA: Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
  5. JamiiForums Tanzania Jasho lako ndo Ridhik yako

    Chunga sana nguo yenye jasho lako_wachawi wanatafutaga sana nguo yenye jasho lako. Nguo inatumika kukuaribia mipango yako katika ridhiki zako. • Tuwe na umakini sana na nguo zetu zilizochoka aisee... Wanga awachezi mbali na hivo vitu. • Kucha/nywele. Jaribu kuvizika. • Bora nguo kuzichoma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
  7. JamiiForums Tanzania Narattive: Mbinu ya 'Kidiplomasia' inayoweza kulinda mahusiano yako dhidi ya waharibifu

    Hili neno 'narattive' huwa linatumika sana kwenye siasa za kimataifa hususani kwenye mahusiano ya kimataifa. Narattive ni silaha moja muhimu sana katika kuhakikisha kwamba, nchi inalinda ideology yake na misingi yako pale inapohusiana na taifa lingine. Kwa mfano nchi kama America na Ulaya...
  8. JamiiForums Tanzania Ustaarabu na unyenyekevu utakusaidia siku ambayo akili yako imeshindwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako

    Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana. Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
  9. JamiiForums Tanzania Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING. Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kama Mzazi wa Kiume ukimkanya Binti yako Maneno ya Kisela anakutii, ila ukimkanya Kiustaarabu anakupuuza?

    Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya. "Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazoezi ya timu ya Simba yako wazi sana?

    Kwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili?
  12. JamiiForums Tanzania Unajutia nini katika maisha yako?

    Vipi? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu ya majina yako

    Hivi inakuwaje mtu[ngozi nyeusi mzawa wa ujiji] unaitwa:- JOHNSON DONALD?. Yaani jina kama vile unaangia Muvi za Kimarekani!!. Yaani, mi nikukutana na mtu kwa Mara ya kwanza, majina yake yote ndiyo yataamua nimpe mkazo ama nimpotezee. COSSANI NDAVILABHONA. IDALE MADUHU. MSHAIJI KHAMISI...
  14. JamiiForums Tanzania Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

    Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo. Mayatollah wanalo..... ===================== Protesters in Iran have marched through the streets of...
  15. JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

    Habari wakuu, Life limekuwa tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi hebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku. Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula...
  16. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'arisha nyota yako

    Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako. IPO HIVI: Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi...
  18. JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  19. JamiiForums Tanzania Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…