yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku yako ya kwanza kuendesha gari ilikuwaje?

    Hello Africa, Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari. Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa...
  2. JamiiForums Tanzania Njoo ujipatie offer ya urembo kutoka nyumba yako

    Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo .... Dirisha 30000 ...nguzo 40000 ... skirting 100000 ..arch ya baraza 10000 ... Arch ya ndani 70000 0719999526/0747618315 WhatsApp
  3. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Do you want to design your website or create a website for your business? Check us

    Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers and developers will work closely with you to create a stunning website that reflects your brand...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Rais Samia, kauli yako kuhusu watumishi wa umma wafujaji naona haipo sawa

    Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu. Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi. Rais Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

    Amani ya Bwana iwe nanyi nyote, Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona, Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
  7. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuoa mwanamke aliyewahi kulala na kaka yako?

    Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema. Mazingira yakabadilika, hisia zikaongezeka kati yako na yeye. Ukataka kujiridhisha kama kaka yako hajawahi kula mzigo, demu...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya tabia zinazosababisha thamani yako ishuke mbele ya mwanamke

    Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe, nakupotezea mno, hamfanyi mapenzi mara kwa mara na hamkutani mara kwa mara tena, na unaona unamkosa...
  9. JamiiForums Tanzania Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Habari, Mtanzania mwana JF, Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi. Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya makadirio, kwa sasa, siku moja baada ya tarehe 31, March kunachaji(penati) ya Tsh 225,000 kwa KILA mwezi...
  10. JamiiForums Tanzania JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

    Hello habari, Nimeona niadhishe hii thread kwasababu watu wengine siku zao zinakuwa mbaya wanakwazika lakini hawana watu wakuwapa pole hawana watu wakuwafariji au ata kuwapa ongera kwa hatua waliyo fikia kwa siku hiyo. Nianze na mimi; Mimi siku yangu ilikuwa mzuri sana lakini ilikuja...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujenga leo na kesho yako

    Kama kijana kuna wakati unapaswa kuutumia vizuri maana muda haumsubiri mtu, na muda ni rasilimali tosha. Niende kwenye hoja saidizi. 1- Jitahidi kuwa Mchaguzi (selective) Uchaguzi wa Vyakula + Vinywaji Uchaguzi wa Mavazi Uchaguzi wa Marafiki Uchaguzi wa Mtu utakayekuwa nae ktk Mahusiano...
  13. JamiiForums Tanzania Kama timu yako ipo CAF Super League, usibabaishwe na mtu

    Just for your information Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc kutoka Tanzania, East Afrika. Kuna vigogo kadhaa tuseme 10 mpaka 15. CAF wamekaa wakaumiza vichwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  15. JamiiForums Tanzania Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  16. JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

    (Ramadan Kareem 🌙) Na, JumaKilumbi. 1. KULA AU KUNYWA WAKATI WA FUNGA Kitu chochote iwe kinywaji au chakula kikipita ktk koo la mfungaji huhesabiwa amefungua swaum. Hii haihusishi vile vinavyoishia kwenye ulimi bila kupita na kuteremka kooni. 2. KUFANYA MAPENZI WAKATI WA FUNGA, NA KUSISIMKA...
  17. JamiiForums Tanzania Mama wa watoto wako ameishikilia hatma yako

    MAMA WA WATOTO WAKO AMEISHIKILIA HATMA YAKO! Anaandika, Robert Heriel Shahidi. Ujumbe huu ni Kwa Watibeli, wanaume na Wanawake wanaohitaji kuishi Kwa furaha katika Ulimwengu huu. Unapochagua MKE sio tuu unachagua Kiburudisho cha kukupa utamu kila usikiapo hamu ya ngono. Mke ni zaidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ungependelea kupokea Personalized Movies recommendations ndani ya Email Inbox yako 📨?

    Weekend ikiwa inakaribia, Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka. Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by...
  19. JamiiForums Tanzania Kifurushi cha huduma za teknolojia kwa kampuni yako

    Je, wewe ni mmiliki wa kampuni ya kibiashara ndogo na ya kati? Je, katika Biashara yako unatumia teknolojia mbalimbali au unahitaji kutumia teknolojia mbalimbali?Kama Jibu ni ndio basi wasiliana nasi leo ili tuone ni namna gani tunaweza kufanya kazi pamoja. TUnawaletea huduma ya vifurushi vya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu) 4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…