yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  4. JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke amekuvutia usiogope kumuonesha nia yako tangu mwanzo

    Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa bango hili maridhiano yako ICU

  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  7. JamiiForums Tanzania Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

    Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano. 👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi

    Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto zote unakutana nazo katika maisha basi nasi kama taifa la Tanzania , nchi na wananchi wake hatuna...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

    Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia...
  11. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

    Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Ishirini tu. CEO wa Simba SC Mimi GENTAMYCINE nakuambia tena Nikijiamini kabisa huku nikiwa na Urafiki...
  12. V

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi yako mwajiriwa

    Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako. Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa kadri unavyozidi kujituma kazini ndivyo unavyoongeza thamani yako katika ajira yako. Kujituma kwako...
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni Tv/Radio yako pendwa? Na kipindi kipi cha redioni/runingani unachokikubali na kwa nini?

    Uzi tayari Weka hapa tusambaziane burudani
  14. JamiiForums Tanzania Je, WhatsApp yako imefungiwa? Fanya haya

    Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp. Kuna...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Dondosha ''MBONA'' yako nyingine hapa mdau👇😂😂

    (1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake wanashangilia timu pinzani😂 (5) Mbona kocha haingii kusaidia team yake na yeye ndo anajua kuliko wao😂
  16. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  18. JamiiForums Tanzania Furaha yako

    Kuwa na furaha ni uamuzi tu. Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha. Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha. Unawajibika kwa furaha yako. Zipo siku unaweza kuwa na dhiki ila unaweza kuchagua kuwa na furaha ili...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni hodi mtafunguliwa ni maneno ya Mungu mwenyewe. Kwanini hujibiwi maombi yako?

    Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako. Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi. Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu, sijui Mungu hufanya polepole au hata kusema kuwa Mungu hayupo. Muulize Mungu kwanini nimeomba kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Tuambie timu yako ilitolewa hatua gani CAFCL?

    Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote Raja Casablanca ndani ya misimu mitatu mfululizo wanatolewa hatua ya robo fainali Mpaka sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…