yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nitajie mahali yako

    Nataka nije nitoe mahari kwenu, nitajie mahari yako Najua kila mmoja anamuhitaji mwenzake, kwa kifupi tunahitajiana. Haya mambo ya kumfanya mwingine agharamike sana, ili aonekane ndio muhitaji sana katika mahusiano, hayana maana; kwa kifupi tunahitajiana. Nimekupenda wewe pisi kali unaetembea...
  2. JamiiForums Tanzania Huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako

    Wazee wanasema: huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako. Aliye kileleni ni vyema akumbuke maumivu aliyosababisha wakati wa safari ya kupanda mlima. Hakuna aliyepata mafanikio bila kusababisha maumivu kwa wengine. Baadhi ya ndoto za dada, kaka na wadogo...
  3. JamiiForums Tanzania Kila ukiamka usisahau kuiombea Nchi yako

    Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  5. JamiiForums Tanzania Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  7. JamiiForums Tanzania Siku yako Uwanja haukujaa na ukaingiza Watu 'Fungulia Mbwa' halafu utegemee Rais Samia apoteze muda wake Kuja?

    Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo.... 1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro 2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC 3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup 4. Imeweka Kambi yake ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
  9. JamiiForums Tanzania Mnada wa Benki baada ya kuuzwa mali yako unaweza kubatilishwa kwa mambo mawili makuu

    Kushindwa kulipa deni hakuhalalishi ukiukaji wa haki za msingi za mkopaji. Mkopaji pamoja na kuwa ameshindwa kulipa deni kwasababu zozote zile bado analindwa na sheria katika haki alizonazo. Kuanzia kushindwa kufanya marejesho mpaka kuuza mali ya mdeni kwa nnada kuna taratibu za kisheiria...
  10. JamiiForums Tanzania Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  11. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Unamuwajibishaje mtu anayemiliki maisha yako?

    Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°. Ilikua hivyo pia kwa Martin Luther King. Alikufa kwa ajili ya haki za watu weusi lakini 2020 Derek...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  15. JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  18. JamiiForums Tanzania Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke lazima Abadili Dini na Imani Ili ifanane na yako ndipo umuoe.

    MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…