Haijalishi wewe ni masikini kiasi gani, haijalishi kuwa wewe si msomi, haijalishi wewe si mtaalamu wa aina fulani, ukweli ni kuwa una kitu kikubwa na cha thamani sana ambacho hakuna anayeweza kukichukua au kukiondoa isipokuwa wewe mwenyewe.
Kama ukiitumia mali hiyo uliyonayo kwa namna nzuri...