yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rasimisha biashara yako kwa wigo mpana wa fursa

    Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu? Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako: Kuanzia usajili na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ghetto linapoteza raha yake ukifika 30's, nyumba ya kupanga inakupa stress ukivuka 40's, jibane unavyoweza uwe na nyumba yako.

    Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako. Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  5. JamiiForums Tanzania Shauri yako Usiponyanduana kila wiki utakuwa Ndondocha

    Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo. Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha. Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki. Pang Fung Mi
  6. JamiiForums Tanzania Shauri yako Usiponyanduana kila Utakuwa Ndondocha

    Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha. Chukueni tahadhari jipendeni nyanduana angalau mara 2 kwa Kila wiki. Pang Fung Mi
  7. JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  8. JamiiForums Tanzania Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  9. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  12. JamiiForums Tanzania Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Ulijuaje kama hiyo Style yako ya kunyoa inakupendeza? Ushawahi take risk kujaribu Style nyingine?

    Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa/spell ya kienyeji ya kukuza uteja katika business yako ili uongeze kipato au ni myth tu?

    Karibuni.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani wa sadaka ya damu na familia yako kiroho?

    Kumesikika stori nyingi kuwa unapoenda kwa mtalaam na unapotoa kuku/mbuzi/ng'ombe etc kama sadaka pale unapotaka mafanikio ya jambo fulani kinachofatia kiroho ni wewe kukabidhi familia yako katika mikono ya giza, yani hatma ya utimamu au uzima wa mke au wanao unanaweza kuwa affected na zile...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  17. JamiiForums Tanzania KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

    Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
  18. JamiiForums Tanzania Kuna muda itakubidi upitie shortcut ili mambo yako yaende

    Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani. Ilifikia hatua nimepata huo mchongo lakini nilihitajika kupeleka license ya udereva,ndani ya week moja niwe...
  19. JamiiForums Tanzania Faida 6 za Ajabu za Asali kwa Ngozi Yako

    Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi, asali ni kiungo ambacho kinaweza kujumuishwa katika utaratibu wako wa kutunza ngozi. 1. Moisturizer ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natengeneza projects za aina yoyote bure njoo na idea yako tuu hakikisha ni nzuri na yenye kunufaisha. Soma maelekezo kwa kuelewa

    Wakuu mko salama Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza... Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…