yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

    Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu. Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako Unaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiona dhuluma na ukanyamaza,Je dhamiri yako inasemaje?

    👉🏾Dhamiri ni ile sauti ya Mungu rohoni inayotuambia ni sawa au si sawa, ni mema au ni mabaya. Ni muhimu inatufundisha kutenda haki, na hutoka kwa Mungu mwenyewe, kama ilivyo katika Warumi 2:15, ambapo inasema; "Kwa maana ni ishara ya kazi ya sheria ya Mungu iliyo katika mioyo yao, wakijua kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandaa Questionnaire ya Research yako na vitu vya msingi vya kuangalia

    Moja kati ya hatua muhimu sana unapokuwa kwenye process ya kufanya research, especially hii aina ya quantitative huwa ni kipengere cha kuandaa questionnaire. Lakini ukweli ni kwamba kuandika questionnaire huwa siyo tu kitendo cha kuamka unakukusanya maswali kama unavyoonaga walioandaa na...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

    Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
  5. JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya NEEMA (Safari yako inaendelea)

    Kuna historia ndani yako inayoshuhudia kuwa hata katika giza zito, nuru iliwahi kuchomoza. Pengine sasa umechoka, Mwili umelemewa, moyo umevunjika, na ndoto zako zinaonekana kwa mbali kwenye upeo wa macho yako. Lakini historia yako haijaisha bado. Historia yako inajua kusimama tena, kusamehe...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sio ubinafsi lakini ukishazoea kuishi peke yako ni raha sana na ni ngumu kuja kuishi na mtu tena

    Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe. Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu. Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
  9. JamiiForums Tanzania Tabia nyengine za wapenzi wetu tusizilaumu sana, pengine alikutana na zimwi kabla yako!

    Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!". kila binadamu huwa ana namna yakujilinda...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako .

    Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako . Hizi waweza kuzitumia katika uji Waweza kutumia katika Mboga Waweza kutumia katika Chakula Kama kupika mihogo , ndizi kwenye Mapishi: unaweza kuiweka katika Nyama, kande, Mboga za Majani na hata kupaka juu ya Mkate. Bei ni kuanzia elfu...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Pale unapodaiwa na jirani yako halafu hulipi deni

    Nimeiona hii huko kwingine, kuna funzo hapa, haya yanatokea sana, miaka miwili iliyopita kuna jirani yangu mstaafu alimkopesha bwana mmoja aliyekuwa anamsaidia kazi za shambani, akatatulie matatizo ya kifamilia kijijini kwao, ila hivi karibuni kuna nakala ya mstaafu huyo imeonekana kwenye kaya...
  12. JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  13. JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  14. JamiiForums Tanzania Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

    Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu. Wasaniii mjitafakari Sana
  15. JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  16. JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  17. JamiiForums Tanzania Sababu za ndugu kutofurahia mafanikio yako

    SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰 Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu: 1. Wivu na Husuda: Wakati mwingine, ndugu wanaweza kuhisi wivu kwa mafanikio yako, hasa kama wao wanajiona hawajafanikiwa au...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

    Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh. Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
  19. JamiiForums Tanzania USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…