yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar mbuzi wanaruhusiwa?? Ee Mungu tusaidie kikombe hiki kitupite kama n mapenzi yako

    Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi wanaruhusiwa kuingia nao uwanjani Mwisho nisiseme mengi naomba niheshimu uamuzi wa caf kubadili...
  2. JamiiForums Tanzania Tour Guide wa Kisasa: Maarifa Yako Ndiyo Silaha Yako"

    Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine. Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...
  3. JamiiForums Tanzania Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  5. JamiiForums Tanzania MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  6. JamiiForums Tanzania Tafakari sana kabla ya kuamua hatima yako

    Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako. Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho la maisha yao. Kwamfano kuna watu wanatazama mwenendo wa watumishi wa uongo, au...
  7. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  9. JamiiForums Tanzania Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nini kipo katika mamlaka? Ni kama kuna zimwi linakuvaa ukishapata kiti kikuu. Linafanya upofu wa macho yako ili uone kwa macho yake litakayo

    Utu huondoka. Unyenyekevu hukimbia. Yani sijui ni exposure na experiences ngumu katika ngazi ya mikakati ya kufikia juu ndio huwa inabadirisha watu au basi mwanadamu ana bweteka kwa kuonesha rangi zake za kweli pale anapopata ukuu wa juu na ili kubaki hapo ana fanya lolote ili aweze ku-survive...
  11. JamiiForums Tanzania Kwamsingi wa madhabahu takatifu nipo hapa kusikia changamoto Yako ya kiafya au hali ya hofu na mashaka.

    Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam. Mawasiliano kalibu pm.
  12. JamiiForums Tanzania Tambua nguvu yako iko kwenye namna unavyoshughulikia majaribu

    Oprah Winfrey aliwahi kusema, "Hakuna kinachotutokea kwenye maisha yetu bila kuwa na faida. Hakuna kinachotupata, hata kiwe kibaya namna gani, kinachoishia kupotea bila faida." Maisha huja na changamoto, huzuni, makosa na maumivu. Lakini katika kila tukio, hata lile la kusikitisha au la aibu...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

    Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana. https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188 Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Spare Kahama Garage – Suluhisho la Magari Yako Hapa Kahama

    Jerry Spare Kahama Garage ni kituo cha kisasa cha matengenezo ya magari na mauzo ya vipuri halisi, kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora na za kuaminika kwa wamiliki wa magari mkoani Shinyanga, hasa katika mji wa Kahama na maeneo ya jirani. Ikiwa unahitaji kutunza gari lako liwe katika...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya kuua mbu wote katika mazingira yako

    Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu. 2. Taka zilizochakaa Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
  18. JamiiForums Tanzania UNAHITAJI MJENZI MAKINI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO ?? CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

  19. JamiiForums Tanzania Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Upuuzi ni pale unapo analyze mambo yanayofanyika kwa kutumia kipimo cha dini. Yani nyoka sio nyoka tena kwako kama amevaa gamba la dini yako. SHAME!

    Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka. Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…