yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simu yako imepotea au imeibiwa? Usihangaike! Tunaweza kusaidia!

    📱 SIMU YAKO IMEPOTEA au IMEIBIWA? USIHANGAIKE! TUNAWEZA KUSAIDIA! 🔍 Kama umepoteza simu yako kwa bahati mbaya, usiogope wala usikate tamaa – sisi tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma maalum ya ufuatiliaji wa simu zilizopotea, kwa kutumia taarifa chache tu kutoka kwako: 🟡 Email na password...
  2. JamiiForums Tanzania Waipofanikiwa Kukutumia kwa Manufaa yako

    Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi. Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na itakufa hasa hizi Biashara Zetu za kutafuta pesa ya kula.
  3. JamiiForums Tanzania Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako?

    Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako? Nikusaidie Napatikana mkoa wa dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  7. JamiiForums Tanzania Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara 25 Ambazo Zinadharauliwa Na Watu Wengi Lakini Zina Faida Kubwa. Chagua Yako

    1. Mgahawa/mama ntilie Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli. Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu. 2. Udalali wa bidhaa na huduma (dalali wa kila kitu) Kuanzia viwanja, nyumba, magari, hadi samani. Faida,Unahitaji ujuzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ikitokea umefukuzwa kazi au kufirisika ghafla! Plan B yako ni ipi kupambana na maisha?

    Habari wakuu! This is a lateral thinking question!(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos) Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

    Pole sana mkuu hauko peke Yako tumeyapitia wengi, mim nilikuwa nanyimwa maji ya kunawa uso Ile asubuhi kwenda shule kisa maji sikuyachota, Kuna siku shule walituma vipande vya Kuni asubuhi yake nikadokoa kimoja kisiri huwezi amini alinifata mpaka shule na kanga Moja kunipokonya ukuni...
  13. JamiiForums Tanzania Nimekoma mimi, katu, katu, katu usitangaze matarajio yako mazuri

    Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi, Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa...
  14. JamiiForums Tanzania 48 Laws of power za kutumia kwenye bishara yako part 3

    25. Re-create yourself (Rebrand, ongeza huduma.) Kufanya rebranding ni kitu kampuni kubwa nyingi duniani zinafanya mara kwa mara. Rebranding inakusaidia kuonekana mpya, na kuzuia mazoea kwa wateja. Pia rebranding inakuaidia kubadirika na kuendana na mazingira ya technologia. 26. Keep your...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeenda mitaa kadhaa hapa kahama ukifika kijiweni wee sema tu CCM HAINA USHAWISHI TENA Kisha Endelea kunywa kahawa Yako.

    Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli.... Japo kwenye kundi la mamba kenge...
  16. M

    JamiiForums Tanzania HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama.. Leo napenda kuwaletea huduma bora zitolewazo kwa wanyama Kama mbwa, ng'ombe mbuzi, nguruwe,kuku,paka,na kondoo n.k...
  17. JamiiForums Tanzania Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

    Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa. Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na...
  18. JamiiForums Tanzania ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  19. JamiiForums Tanzania Gorofa yenye master bedrooms juu siyo ghali kihivyo so timiza ndoto yako usiogope call us +255624004650

    HAPA CHINI 3BEDROOMS JUU MASTER BEDROOMS NA KASEBULE KDGO YAAN SIMPLE NA AFFORDABLE SANA PLOT SIZE KUANZIA 20X20M AU 20X30M UNAHITAJI NN ZAIDI CALL US +255624004650 OFISI ZETU ZIKO SINZA DAR ES SALAAM PICHA ZA IDEAS ZINGINE KWA CHINI
  20. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako?

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti Eneo: Dar es salaam, Mbezi Gharama: 10,000 Tshs Mawasiliano: 0756704145
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…