yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHANNEL ZOTE NA MOVIE KWA KUTUMIA WI-FI YAKO TU

    KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA.. 0744680670
  2. JamiiForums Tanzania CHANNEL ZOTE KWA KUTUMIA WI-FI YAKO TU

    KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA.. 0744680670
  3. S

    JamiiForums Tanzania Si ruhusa kuchoma moto simu yako, tv yako au vifaa vya kielektroniki hata kama vipo ndani mwako umevichoka au kuharibika

    Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub meter) au kifaa chochote cha kietroniki kama takataka hata kama kitakuwa kimebenjuka na kubaki vipande...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  6. JamiiForums Tanzania Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  7. JamiiForums Tanzania NYOTA YAKO LEO: Jumamosi Juni 14/2025

    NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 14/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Leo Jitahidi kukutana na...
  8. JamiiForums Tanzania Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  9. JamiiForums Tanzania Nyota yako leo: Ijumaa, Juni 13/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 13/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Upo kati kwa kati hujaamua uanze na...
  10. JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  11. JamiiForums Tanzania Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  12. JamiiForums Tanzania Una changamoto ya spare za Mini cooper yako? Sululisho liko hapa!

    Karibu uagize spare za mini cooper kuanzia engine, vifaa vya umeme, vilainishi na mengineyo kwa jumla na rejareja Wa ndege,Vifaa hufika ndani ya siku 5 hadi 7 na kwa meli/maji ni siku 40 kulingana upakiaji na usafirishaji. Ndege ipo ya jumatatu, jumatano na ijumaa na kwa kilo ni dola 12...
  13. JamiiForums Tanzania TFF kabidhi fedha za CRDB kwa Yanga kisha dai madeni Yako. Mnaiaibisha Bank

    TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili. TFF imekosea sana...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

    Heri kwenu nyote. Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima. Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

    Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo...
  16. JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  17. JamiiForums Tanzania Simu yako imepotea au imeibiwa? Usihangaike! Tunaweza kusaidia!

    📱 SIMU YAKO IMEPOTEA au IMEIBIWA? USIHANGAIKE! TUNAWEZA KUSAIDIA! 🔍 Kama umepoteza simu yako kwa bahati mbaya, usiogope wala usikate tamaa – sisi tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma maalum ya ufuatiliaji wa simu zilizopotea, kwa kutumia taarifa chache tu kutoka kwako: 🟡 Email na password...
  18. JamiiForums Tanzania Waipofanikiwa Kukutumia kwa Manufaa yako

    Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi. Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na itakufa hasa hizi Biashara Zetu za kutafuta pesa ya kula.
  19. JamiiForums Tanzania Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…