yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fatema Dewji anasema fanya hivi ili kukuza biashara yako

    1. Pata Wateja Wapya Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia: Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani Mteja mpya = Fursa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbinu za kusave pesa yako

    Habari za Jioni Mabro Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Unafuga kuku? Basi hii ni kwa ajili yako!

    Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza: ✅ Kurekodi gharama zote za mradi ✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi ✅ Kukumbushwa siku za chanjo Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
  4. JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza kuishi na amani yako nzuri tu kwa kuacha Kuanguka kimapenzi na vitu hauwezi kuvipata au kuvimudu

    👩‍❤️‍👨Achana na wake za watu. Hauwezi vumilia maumivu ya consquences zake. 🚗Ukinunua gari hakikisha una uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha bei ya gari kirahisi. 🍑Kama demu ni mwenye matako makubwa hakikisha uwe na moyo mkubwa pia. 💵Kama ni bwana pesa nyingi hakikisha uwe na uvumilivu mwingi...
  5. JamiiForums Tanzania Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!

    Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka...
  7. JamiiForums Tanzania Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
  9. JamiiForums Tanzania Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

    Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%. Hii ni kwanini?
  10. JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  12. JamiiForums Tanzania Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
  13. JamiiForums Tanzania Uume wako sio rafiki yako zaidi ni adui yako mpaka ujifunze kuudhibiti

    UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli * Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha? Maisha yanahitaji Malengo, malengo huhitaji Mipango na mikakati, Mikakati huhitaji Focus, nidhamu. Nidhamu...
  14. JamiiForums Tanzania Anzisha biashara Yako sasa ya sausage 🌭🌭 za nguruwe (pork sausage)

    Kutengeneza sausage ya nguruwe nyumbani ni rahisi ukiwa na viungo sahihi. Hii hapa ni njia rahisi: Viungo: 1 kg ya nyama ya nguruwe (mafuta na nyama, iliyo sagwa) 1 kijiko cha chai chumvi 1 kijiko cha chai pilipili manga 1 kijiko cha chai paprika (hiari) 1 kijiko cha thyme au oregano (hiari)...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

  16. JamiiForums Tanzania Ulipata Tsh. milioni 200 yako ukiwa na umri gani?

    Haya tuchangamke wadau uzi tayari🤣
  17. JamiiForums Tanzania Kulala peke yako ni bora kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwingine

    Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya kazi/nafasi ambazo muda wowote unaweza kuingia matatizoni, kujaa kwenye mfumo au sifa yako kuchafuka

    1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini 3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha 4. Daktari anayehusika na wajawazito 5...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukiataka mafanikio Jifunze Kumshirikisha Mkeo Mambo yako ya Msingi(malengo yako)

    👉 Jesus News Radio Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo kuu ya familia. Mwanamke ndiye anayeshika nafasi ya pekee ya kulea watoto, kutunza familia...
  20. JamiiForums Tanzania Ijali familia yako

    Aliingia mfanyakazi wa kawaida katika duka dogo la dawa, uso wake umechoka na mikono yake imepasuka kwa sababu ya kazi nyingi. Akamuuliza mfamasia kwa sauti ya utulivu: “Je, mna marhamu ya saruji(ni dawa ya kupaka juu ya ngozi kwa ajili ya kulainisha ngozi iliyokauka au kupasuka)?” Mfamasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…