yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako

    UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na hatari zaidi BMI Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
  2. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako ya Siasa; Epuka mambo haya

    KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA; Kwa Mkono wa Robert Heriel. Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya ili uwe na Amani hata siku ujapoondoka duniani. 1. Epuka kumwaga Damu isiyo na hatia. Fanya...
  3. JamiiForums Tanzania Amos Makalla, Legacy yako ni Jiji la Dar es Salaam kuwa Safi

    Nimesoma Dar, nimeishi Dar kabla sijahamia Mkoani Ruvuma, kusema kweli Dar imekuwa na sifa kuu 3 1. Uchafu 2. Mipango miji mibovu iliyopelekea ujenzi holela wa Makazi hadi maeneo ya biashara( vibanda vya machinga) 3. Joto na foleni za Barabarani Namba tatu ni sababu zilizo nje ya uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu! Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nape kwa maneno yako chama kimerudi kwa wenyewe unamaanisha nini?

    Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania itabakia na kitu kikubwa kukumbuka ni kuwa Taifa ni zaidi ya ukoo au kikundi. Unauhuru wa kutoa mawazo...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  7. JamiiForums Tanzania Shamimu Mlacha yala yala hayo macho yako

    Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia. Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  9. JamiiForums Tanzania Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
  10. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinayakimbiza mawazo yako mazuri unapozishika fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Wengi wetu huwa tunakutana na hali hii. Pale unapokuwa huna fedha unakuwa na mawazo mazuri sana. Unakuwa na mipango mizuri kwamba ukipata fedha utazitumiaje vizuri ili upate manufaa makubwa. Ukimuona mtu mwenye fedha anazitumia vibaya, unajiambia huyo hajui matumizi...
  11. JamiiForums Tanzania Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Pili

    Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa. Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
  12. JamiiForums Tanzania BoD Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni yako

    Habari za wakati huu; Kwanza kabisa nitanguliza shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa neema zake.Leo nataka tuzungumzie issue ya BODI ya kampuni na umuhimu wake.Kampuni nyingi private huwa zinafeli kwa sababu ya kuwa na BODI(BOARD ambayo ni pungufu) Ni muhimu kwa mmiliki kwa mjumbe wa bodi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama uko single weka picha yako hapa tuangalie tatizo liko wapi

    Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
  14. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuna Watu Wenye Bahati na Wasio na Bahati? - Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime Bahati Yako Kwa "The Wheel of Fortune".

    Wanabodi, Haya ninayoandika ni kama utani vile lakini ndio ukweli wenyewe!, Jee wajua ya kuwa, kuna watu wenye bahati na na wengine hawana bahati?. Wenye bahati, mambo yao yanakwenda vizuri na kusema ni bahati tuu, na wasio na bahati, mambo yao yanakwenda vibaya, na kuishia kusema ni bahati...
  15. JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini ukienda Benki Hela yako huwa unaikuta wakati unasikia Benki inakopesha hela zako?

    Swali moja la Kizushi! Umeshawahi kujiuliza unapoweka hela benki, benki inafanyia nini Hela zako? Na je, kama inatumia kwenye kazi nyingine, je kwanini ukienda kuwithdrawal unaipata? Kuna Majibu mengi sana ndani mwake lakini Hii kuensure liquidity ya Bank inafanya na Kitengo kimoja Hatari...
  17. O

    JamiiForums Tanzania January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

    Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz, bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena, Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  19. JamiiForums Tanzania Mke wako ni Abigael wa leo? Au je, umemuandaaje binti yako kuwa kama Abigael?

    JE MKE WAKO NI ABIGAEL WA LEO? AU JE UMEMUANDAAJE BINTI YAKO KUWA KAMA ABIGAEL? Anaandika Robert Heriel, Tena hakuna kitu kizuri na kinachopendeza kama mwanamke, mwanamke ni ua katika miiba, ni dhahabu katika matope; naye apataye mke mwema ameyapata maisha yake na kuyaokoa walakini akosaye...
  20. JamiiForums Tanzania Shemeji; Maneno yako ya dhihaka nimeyasikia

    SHEMEJI; MANENO YAKO YA DHIHAKA NIMEYASIKIA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwanza nikuambie tuu hapa nilipo nina shahada ya juu kabisa katika Chuo Bora hapa NCHINI, Elimu yangu sio ya kubahatisha japo unaniona ninaishi maisha ya Ndege Kwa sasa lakini tambua CV yangu kielimu ni wachache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…