yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya Usalama kwa sasa hapa nchini inazidi kuwa mbaya, Unapaswa kujilinda mwenyewe na familia yako kadri unavyoweza

    Wasalaam wakuu, Hapa nchini kwa sasa hali ya kiusalama ni tete sana, kuna baadhi ya mitaa sasa hata mchana ni taharuki, unatembea na kufanya shughuli za kijamii kwa wasiwasi mkubwa sana. Usiku ndio usiseme ni hofu tupu. Kwa namna mambo yalivo inabidi kila mtu awe tayari kujilinda awezavyo, ni...
  3. JamiiForums Tanzania Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  4. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha futi 40 kwa 50 kinatosha kujenga nyumba?

    Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu anisaidie hili
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

    Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

    Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki. Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
  10. JamiiForums Tanzania Jua namna ya kufahamu kiasi cha MB ulichotumia kwenye kifaa chako

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
  11. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!

    Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  15. JamiiForums Tanzania Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza Nikatongoza - ikagoma Nikatongoza - nikapewa shit Nikatongoza - nikapewa namba Uhusiano - miez 1 na nusu Omba mzigo - kachomoa Omba mzigo - ntakuja kukutembelea. Nikateleza😋 Akakagua simu - akapata presha Nikaomba...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  18. JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  19. JamiiForums Tanzania Picha Fikirishi: Tupia yako

  20. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…