yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli..... Sasa basi ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  3. JamiiForums Tanzania Maisha unayoishi yanaweza kunyoosha au kuharibu maisha yako ya baadae.

    James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita. Jamila alijifungua mtoto wa kike mzuri na kumpa jina Aisha. James alitoka shuleni anamkuta Jamila na mtoto, alipenda...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

    Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu. Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  6. JamiiForums Tanzania Hali ya Usalama kwa sasa hapa nchini inazidi kuwa mbaya, Unapaswa kujilinda mwenyewe na familia yako kadri unavyoweza

    Wasalaam wakuu, Hapa nchini kwa sasa hali ya kiusalama ni tete sana, kuna baadhi ya mitaa sasa hata mchana ni taharuki, unatembea na kufanya shughuli za kijamii kwa wasiwasi mkubwa sana. Usiku ndio usiseme ni hofu tupu. Kwa namna mambo yalivo inabidi kila mtu awe tayari kujilinda awezavyo, ni...
  7. JamiiForums Tanzania Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  8. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha futi 40 kwa 50 kinatosha kujenga nyumba?

    Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu anisaidie hili
  11. JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

    Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

    Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki. Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Jua namna ya kufahamu kiasi cha MB ulichotumia kwenye kifaa chako

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
  15. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!

    Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  19. JamiiForums Tanzania Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza Nikatongoza - ikagoma Nikatongoza - nikapewa shit Nikatongoza - nikapewa namba Uhusiano - miez 1 na nusu Omba mzigo - kachomoa Omba mzigo - ntakuja kukutembelea. Nikateleza😋 Akakagua simu - akapata presha Nikaomba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…