yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  2. JamiiForums Tanzania Ujue umuhimu wa kusasisha (Update) simu au Apps zilizopo kwenye simu yako

    Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  4. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

    Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi. Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako

    Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako… 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66. 2. Amejenga madarasa 1500 nchi nzima. 3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa. 4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact. Back in days...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Uza youtube channel yako ambayo hutumii

    Kama una youtube channel yako yenye subscribers wengi na hutumii tuwasiliane,nitainunua
  12. JamiiForums Tanzania Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

    Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies (2)Uzi wa wazee wa kula tunda...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

    Ni mafuta safi kabisa yanayozaliswa na kiwanda cha QSTEK FARMING LTD kilichoko mjini manyoni mkoani singida. Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kutumia mbegu halisi za alizeti zinazozalishwa hapa hapa Tanzania. Mafuta ya best choice hayajaongezwa kemikali yoyote hivyo ni salama kwa afya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe huniombi kitu ni juu yako, ninapohitaji kitu kutoka kwako ninachojua unaweza kunipa nitakuomba tu

    Huyu dada ndo amenambia hayo maneno. Baada ya kuniomba tena leo kwa mara nyingine lunch twende wote. Jana aliniomba twende lunch akalipia akaomba kulipia pia. Tulibishana sana na akawa mkali kuwa yeye ndo ameniomba anitoe. Leo tena kanikuta restaurant kaomba anywe Milk Shake. Nikamwambia anywe...
  15. JamiiForums Tanzania Weka CAPTION YAKO, Mmh Maake hapo acha NCHEKE😆

  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa ,akyanani utajiona upo peponi.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
  19. JamiiForums Tanzania Dondosha hapa changamoto yako ya mapenzi ya ujanani tusaidiane kuitatua

    Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani. Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

    Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake . Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote. Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire. Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…