yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa na amani ndani ya moyo wako na maisha yako, basi fanya haya

    Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyaomba kwenye maisha yako pindi Tu utakapoanza kujitambua!

    MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO. Anaandika, Robert Heriel. Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
  3. JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  5. JamiiForums Tanzania Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  6. JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

    Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao. Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao? Eti ni Hukumu Kali...
  7. JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

    Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali. Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
  8. JamiiForums Tanzania Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

    Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza matunda Mama ntilie Utaanzaje anzaje:- Tembelea hayo makundi hapo juu Tathmini mauzo yao kwa siku Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Daz Baba haki yako iliyodhulumiwa na Bongo Records italipwa hapa hapa duniani

    Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk. Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na mauzo ya album yake hela za mauzo anachukua P Funk Majani ambae alitengeneza mikataba ya ujanja ujanja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza vipuri vya magari, simu, tablets na vingine vingi

    Kwa bidhaa mbali mbali za magari, kama shock abs, brake pads original, CV JOINTS, piston rings, na tuna spare za suzuki carry original kabisa,simu brand zote, play station, tablets za watoto, smart watches, perfumes, laptops, tablets na cosmetics tupigie simu. Tupo kwa ajili yako . Pia tuna toa...
  11. JamiiForums Tanzania Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

    1- Man City 2- Liverpool 3- Tottenham Hotspur 4- Arsenal N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
  12. JamiiForums Tanzania Ukijisaidia haja kubwa unajisafishaje? Jibu hapa tujue level ya maisha yako

    Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani? 1. Gunzi 2. Mchanga 3. Maji mkono mavi 4. Preshawota 5. Pepa 6. Kochespa
  13. JamiiForums Tanzania Je, mambo yako hayaendi? Tegua mtego!

    JE MAMBO YAKO HAYAENDI? TEGUA MTEGO! Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Mambo haya ni bure, wala sitakuchukulia chochote Kama faida. Nimeyaandika haya kama kumbukumbu Kwa hao watakaona yatawafaa, tena isihesabike maneno haya ni kifungo kwa yeyote bali yawe ufunguo Kwa hao waliofungwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada au maoni yako ni muhimu hapa.

    Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.). Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.
  16. M

    JamiiForums Tanzania mfumo wa mauzo kwa biashara yako kwa bei nafuu

    Habarini kwa mara ingine tena, Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

    Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
  18. JamiiForums Tanzania Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  20. JamiiForums Tanzania Ipo siku yako, endelea kupambana, mwisho wa kupambana ni pumzi yako inapoishia!!

    Salam! hapa jamvini tumekuwa tunapeana matukio yetu ya kila siku, mapenzi mahusiano, matatizo nk. . . leo nimeamka na hilinla kuwapa moyo wapambanaji wanaoelekea kukata tamaa na maisha haya, kuwa ipo siku yao, wanayoyapitia pengine ni funzo wanatakiwa walipate kwenye maisha!! . . ni sahihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…