Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu .
Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa .
Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi
Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka.
Habari za kupewa...
li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC).
Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k
huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno
.....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake.
Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
Kauli nzito iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Gatundu North, Patrick Kariuki Muiruri, mbele ya Mahakama Kuu imeibua tena maswali kuhusu hofu alizokuwa nazo mfanyabiashara wa Uholanzi Tob Cohen kabla ya kupatikana amefariki mwaka 2019.
Akitoa ushahidi Jumatatu, Oktoba 12, 2026, katika kesi ya...
Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have...
Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo.
Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.
Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa?
Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
02 Agosti 2026
Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho
https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c
🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake?
Makala hii inachunguza maisha...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023).
Epuka kuingiza...
Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho.
1. Divide them and rule..
2. Fake Propaganda and illusions..
3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9)
4. Let them fight each other...
Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa
Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera
Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒
Pili ni chumvi nyingi sana.
Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada.
Na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.