wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fine boe

    KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
  2. Q

    Lissu atatoka December 2027, kama hatokata rufaa au kupata msamaha wowote

    Nimefanya hesabu kwa kutumia masharti ya Kifungu cha 49(1) cha Prisons Act, Cap. 58 na Kifungu cha 172(2)(c) cha Criminal Procedure Act, Cap. 20. Prisons Act, Section 49(1): Hutoa uwezekano wa kupata punguzo la theluthi moja kwa mwenendo mzuri na kufanya kazi. Punguzo la 1/3 la miaka 4 = Mwaka...
  3. Foffana

    Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hiyo Wanaharakati hawana mpango au mkakati wowote mwenzao akitekwa wao wafanyeje? Kanuni za Tibeli: NEVER PLAY THE VICTIM

    Hamjambo! Kuna mtu anaweza kujiuliza mambo haya yataisha lini? Niliwahi andika hapa, Kanuni ya auaye kwa upange atakufa kwa upanga sio universal law. Hiyo ni kanuni ya Wayahudi na Mungu Wai aitwaye Yehova. Niliandika kwamba Isije ikatokea Ukafanyiwa uhuni huko ukadhani Mungu(usiyemjua)...
  5. Mwizukulu mgikuru

    Wanasema wakitaka muda wowote wanatuua kwa kutulisha steel wire....

    Wanatamba Sana Na hii point, Sasa tumalize mchezo ikitokea nikafa Leo kifo cha kutatanisha suspect wa Kwanza Ni mke wangu au mpenzi wangu....
  6. Lycaon pictus

    Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

    Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
  7. M

    50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
  8. M

    Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  9. Crocodiletooth

    Je madai ya rigathi gachagua yanaweza kuwa na ukweli wowote?

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta pamoja na mke wake na watu wengine, alikuwa mshirika wa kibiashara wa Rais William Ruto na alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh1.5 trilioni (takribani...
  10. Traxtion

    Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

    Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  12. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  13. tpaul

    Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa. Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
  14. M

    Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
  15. generationn Z

    Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  16. N

    OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  17. Yoda

    Kwa nini hakuna ushahidi wowote wa Waisrael kuwahi kuwa utumwani Misri ?

    Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea. Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia...
  18. MIXOLOGIST

    Law No. 1 Never Outshine the Master: Kuna Uhusiano Wowote na Yanayotokea Sasa

    Naendelea kukisoma hiki kitabu 48 Laws of Power by Robert Greene Law 1 Never Outshine the Master Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite – inspire fear and...
  19. polokwane

    Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  20. kavulata

    KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
Back
Top Bottom