wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  2. Nimepata uzoefu kuzuia wizi wa mtandaoni

    Kwanza nitafurahi nikipokea pole baada ya kuibiwa mara 2 kwa njia ya mtandao.Vile vile wanaoibiwa na serikali itafaidika ikinisikiliza namna wizi huo unavyoweza kama si kuzuilika basi kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.. Wezi daima watakuwepo isipokuwa kama kuna nia safi ya kuwashughulikia basi huwa...
  3. G

    Waandishi wa habari mkipata nafasi ya kufanya mahojiano na rais/mstaafu muulize tuhuma za wizi wa kura

    Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku. Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
  4. MIFUMO YA KUZUIA WIZI WA VYOMBO VYA MOTO.

    .
  5. Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

    Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu. Eneo lenyewe liko Manzese...
  6. N

    AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

    Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na...
  7. Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  8. Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

    Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema waziri wa fedha, Dr. Mwigulu. Badala ya kudhibiti wizi na ubadhilifu kwenye vyanzo vya mapato...
  9. Tusinyamaze tukemee huu Wizi tunaofanyiwa na Serikali

    Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA. Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu na PANYA ROAD. Watanzania tusikubali na kuruhusu huu WIZI tunaofanyiwa na Serikali hii ya kikatili...
  10. DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  11. DOKEZO Airtel wamebuni wizi mpya wa kuuza vocha ambayo haijaanza kutumika

    Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri. Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
  12. Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  13. Sele Bonge akamatwa kwa wizi wa TV na gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limemkamata Seleman Kalembo, maarufu kama Sele Bonge na wenzake 9 kwa tuhuma za wizi na kuwakuta wakiwa na gari aina ya Noah vifaa mbalimbali vya kuvunjia nyumba, TV nne pamoja na mfuko wa kufichia TV baada ya kuiba. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda...
  14. Upigaji na wizi

    Kwa sasa Tanzania tuna mashirika makubwa sana ya misaada na mashirika hayo lengo lao kubwa zaidi ni kutoa misaada mbali mbali. Mfano IDWF (international domestic workers federation) nimelisemea shirika hili kwasababu nimewahi kufanya makala inayohusu misaada wanayotoa kwenye jamii ila cha...
  15. Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  16. Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  17. Rais wa Afrika Kusini, Ramaphosa ahojiwa na wabunge kuhusu wizi wa fedha kwenye shamba lake

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
  18. B

    DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  19. A

    DOKEZO Wizi wa Fedha za NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  20. M

    Nahisi wizi kwenye MB za intaneti

    Huwa natumia sana mtandao wa Tigo. Leo asubuhi kama sa nne hivi nikanunua kifurushi cha intanet GB 1 ( huwa napata pia dk 30 kupiga mitandao yote). Cha kushangaza/kusikitisha mda mfupi uliopita naangalia salio la kifurushi hiki, nakuta MB 800 zimeyoyoma. Sijaangalia hata video moja. Kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…