wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    TCRA acheni kushiriki kwenye wizi wa vifurushi unaofanywa na AZAM TV

    Azam Tv imekua na tabia ya kutuibia wateja wa vifurushi vya Azam Tv, mteja ananunua kifurushi cha bei kadhaa na chaneli kadhaa kwenye kifurushi husika lakini kabla haujamaliza muda wa kifurushi husika Azam Tv wananyofoa baadhi ya chaneli ulizolipia, huu ni wizi na ni sawa na mwenye basi...
  2. Shark

    Bookeebet acheni wizi, kodi hukatwa kwenye faida tu

    Kwema Wakuu, Hii inahusu Wakamaria. Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bookee. Nilisema nijiunge nayo ili nikimbie makato ya 15% ya kodi yaliyoko SportyBet (huu nao ni wizi mwingine). Hawa Bookee kwao hukata kodi ya 10%. Nilichokutana nacho huku Bookee ni wizi wa aina ingine lakini kwenye...
  3. JituMirabaMinne

    INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  4. DogoWaNjombe

    Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

    Paroko wa Parokia ya Haydom, Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Bartazari Margwe Sule (63) amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kuiba zaidi ya shilingi milioni 20 kwenye akaunti ya kaka yake, Dionice Margwe Sule ambaye inadaiwa kuwa ni mgonjwa wa kupoteza kumbukumbu...
  5. peno hasegawa

    Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

    Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa === Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Serikali ya CCM haijengi magereza mapya? Je, kiwango cha uhalifu kimepungua au wao ndio wahalifu wenyewe wamehalalisha wizi, na ufisadi?

    Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana. Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
  7. robinson crusoe

    Tigo wameniibia pesa: Naomba uzoefu wenu kupambana na wizi huu

    Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo. Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
  8. Rammyq

    Law school of Tanzania yapandisha ada na gharama nyingine, kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=

    Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja. Maswali ya kujiuliza; ~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
  9. Mawimba

    Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  10. Ngongo

    Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

    Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali. Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani. Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana. Ni hayo tu...
  11. Z

    Wizi Serikalini: Wabunge wanawakwepa Mawaziri na Makatibu Wakuu makusudi?

    Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
  12. BARD AI

    Madiwani wamtaka Mkurugenzi kuchunguza wizi wa dawa Mafinga

    Madiwani wa Halmshauri ya Mji Mafinga wilayani hapa, wamemwomba Mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuunda kamati ya kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma wizi wa dawa katika kituo cha afya Ihongole unaolalamikiwa na wananchi. Hayo yamebainishwa na Diwani wa viti maalum Dainess Msola katika kikao cha...
  13. P

    Vilaza, wafoji vyeti mlio hapa JF, Thibitisheni wizi wa JPM na sio ngojera zenu!

    Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu, Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk...
  14. tpaul

    Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  15. Lycaon pictus

    Huu sasa ni wizi. Toka GB 1 kwa 1500 hadi 650 mb!

    Huu ni uhuni wakuu, Tigo GB moja ilikuwa 1500. Wakaleta mb 900. Juzi zikawa 750. Leo kwa 1500 unapata Mb650. Kwa hesabu za uwiano, hiyo mb 650 ilitakiwa kuuzwa Tsh 975. Kuna Tsh 525 nzima tumeongezewa. yaani Bei imeongezeka kwa asilimia 53 ndani ya muda mfupi tu!. Huu ni uhuni, ni bidhaa gani...
  16. JituMirabaMinne

    INAUZWA Solution ya bei nafuu kwa walioibiwa masega kwenye magari.

    Mara nyingi gari ikiibiwa masega, 1. Itawasha check engine 2. Inaweza kukosa nguvu. 3. Inaweza kumisfire(misi). 4. Itatumia mafuta vibaya sana. Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza kukutana nazo iwapo gari itaibiwa masega. Au masega ya gari yako yatakuwa yamechoka. Shida kubwa hapo...
  17. Fursakibao

    Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

    Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga. Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi...
  18. Allen Kilewella

    Uadilifu chanzo cha wizi wa mitihani na udanganyifu

    Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma. watu waadilifu wataweka...
  19. K

    Tunduru: JWTZ wazima wizi na mauaji ya waendesha boda, amani yarejea

    Jeshi la wananchi wa Tanzania wilayani Tunduru, limezima mara moja matukio ya wizi wa pikipiki na mauaji ya waendeshaji wa hizo pikipiki na amani imerejea. Taarifa za uhakika kutoka Tunduru zimeeleza na kuzibitishwa na wakazi wa wilaya hiyo, kwa mujibu wa taarifa hizo wimbi la wizi na mauaji...
  20. mgt software

    DOKEZO Utatuzi wa wizi wa TARURA kupitia kimulikwa ni mgumu, tutaendelea kuumizwa

    Wana JF, Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala kiegesha lakini nakuta nadaiwa fedha za maegesho. Kuna sehemu nyingine natajiwa hata sipajui lakini...
Back
Top Bottom