wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  2. avogadro

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi tatueni hii migogoro kabla hajafa mtu kwa mapanga au kulogwa

    Habari wadau..! Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la 9 September kwamba muda si mrefu lile eneo lote la Kurasini-Temeke lilitwaliwa miaka kibao ya nyuma enzi za JK sasa litaanza kufanyiwa kazi kwa kugeuzwa kituo cha biashara. Pia maeneo ya karibu yote na hapo kama Machungwa na Mivinjeni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

    Ok
  8. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani, tuambieni Watanzania kuhusu Jeshi la Polisi

    Kwa ufupi sana: Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi: Je: 1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa? Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni? 2. Makomandoo wameenda...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuteua Waziri mwanamke Wizara ya ulinzi ni sawa?

    Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Mtaani kuna graduates wengi sana wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
  12. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na wizara ya elimu igeni hili kutoka wizara ya afya

    Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma Ni mpango mzuri kwani...
  13. U

    JamiiForums Tanzania CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

    Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
  14. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016. Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji aikumbusha Menejimenti ya Wizara ya Habari kutekeleza wajibu

    DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU Asema Tuko Hapa Kuwatumikia Wananchi Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  17. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Walimu 10, 000 kuajiriwa kabla ya disemba, zoezi hilo kufanywa na tume ya utumishi wa walimu badala ya wizara

    WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo inasubiri kibali cha kuajiri walimu 10,000 kabla ya Desemba, mwaka huu. Akizungumza mjini Dodoma jana, Ummy alisema itakuwa mara ya kwanza Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) itahusika kuajiri...
  18. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili Mtatoa lini Ajira kwa vijana Askari Wahifadhi?

    Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa tangu tuhitimu na ukizingatia kuna takribani hifadhi mpya NNE zilianzishwa na bado hazina watumishi...
Back
Top Bottom