Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya shilingi trilioni 21.52. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 809.12 zimetengwa kwa mishahara...
Rushwa Rushwa Rushwa!!
Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali ukiomba kupitia mfumo maombi hayapitishwi kwa wakati na wanayapuuzia, ila wanakujengea mazingira ya kutoa...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027.
Matumizi ya Kawaida: Shilingi trilioni 1.95 sawa na asilimia 80% zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida...
Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania.
Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii.
Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
fedha
kati
kufanya
makonda
maliasili
maliasili na utalii
matumizi
matumizi ya fedha
nchini
takukuru
uchunguzi
utalii
wanamichezo
wizarawizara ya maliasili
Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27.
Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi:
📍 Mei 2025, Wizara ililiomba Bunge kupitisha TZS 2.280 trilioni kwa mwaka 2025/26.
📍 Mei 2026 (leo), Wizara inasema bajeti...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumatano tarehe 20 Mei, 2026 , ambapo Wizara hiyo imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 2,564,441,414,000 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na utekelezaji wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27 Fungu 52.
Mchengerwa ameyasema hayo leo Mei 11, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha...
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima.
▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
NYUMBA INA HATI YA WIZARA
INAUZWA #MILLION_270 MAONGEZI IPO DSM KITUNDA UKONGA
VYUMBA
VITATU
VYOTE
MASTER
SEBULE
DINNING
JIKO CHOO CHA PUBLICITY N.K STORE
UKUBWA WA ENEO SQM 1,500
KARIBUNI SANA PG AU WHATSAPP 0718408733
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa.
2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI
Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia).
Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
Utangulizi
Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027.
Katika ufuatiliaji wetu...
Kitu Gani kinafanya wizara ya UJENZI isihusike na miradi YOTE ya UJENZI ya serikali?
Bali imejikita kwenye Ujenzi wa barabara kuu na baadhi ya majengo au wizara zingine zinatumia miradi ya ujenzi kama chaka la kuiba pesa za umma hasa wizara ya TAMISEMI, TBA tasisi ambayo iko chini ya wizara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.