wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. WATUMISHI WIZARA YA ARDHI WASISITIZWA KUONGEZA NGUVU UTOAJI ELIMU MATUMIZI YA MFUMO WA e-ARDHI

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
  2. F

    Wizara ya Maji imefanikiwa kuhakikisha maji hayatoki Jiji la mwanza siku ya tano mfululizo bila taarifa yoyote

    TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu. Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
  3. Baba Levo:Wapiganie Wanaume wapate wizara ya kuwatetea !

    Hivi karibuni matukio ya wanaume kunyanyaswa, kupewa unyumba chini ya dakika moja, mke kudai hajisikii, kubakwa , kulawitiwa na kadhalika huku hakuna mtu anayewasemea sasa mbunge wa kitaifa ndugu BABA levo asaidie kupaza sauti iundwe wizara ya kutetea wanaume . Hapa kuna maandishi ya Kiswahili...
  4. Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  5. Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  6. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  7. Hadi leo mshahara wa katibu mkuu wa wizara ni mkubwa kuliko wa waziri?

    Baada ya uhuru ilikuwa hivyo. Anaandika hivi Nyerere katika kitabu TANU na raia mwaka 1962. "Nimetaja Mawaziri kama mfano tu. Lakini maneno haya yanawahusu Waafrika wote wenye hali nzuri. Leo Permanent Secretary Mwafrika mshahara wake ni Shs. 4,000/- kwa mwezi. Hatujali Permanent Secretary...
  8. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  9. Wizara ya ardhi yalenga kuwa kinara wa uandaaji ramani Afrika

    DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika. Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
  10. A

    KERO Wizara ya Afya mbona mpo kimya kutoa mrejesho kwa Waombaji wa kushiriki CPHIA nchini Ethiopia?

    Lalamiko langu linahusu Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa mrejesho kwa waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Kongamano la CPHIA litakalofanyika nchini Ethiopia mwezi Novemba. Wizara ilitoa tangazo la fursa hiyo na kueleza kuwa waombaji watakaofanikiwa kuchaguliwa watagharamiwa na...
  11. Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  12. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  13. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  14. WIZARA YA ARDHI YATEKELEZA OMBI LA WANANCHI WA BAGAMOYO KUONESHWA MIPAKA YA MAENEO YAO

    BAGAMOYO, PWANI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo. Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
  15. Wizara ya Elimu Acheni Kujaza Chuki Watoto

    Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6). Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework. Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl...
  16. S

    Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  17. K

    Ushindi wa Miss grand (Jihan) utumike na Serikali hasa wizara ya Dr. Gwajima kumuelewa Dudu Baya

    Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international. Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao...
  18. waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  19. Inadaiwa kuna scientific calculator mpya ambazo zina AI na zina connect na simu mpaka unaweza kuuliza maswali

    Nahisi nchi yetu hawa tuliowapa madaraka ni vilaza mpaka makosa wakigundua sio leo. Asilimia kubwa teknolojia zimewafanya wanafunzi kucheat sana na ndio maana matokeo ya ufahuru ni mkubwa kuliko matokeo ya nchi. Kuna scientific calculators mpya ambazo kiakili ya kawaida unaweza kuona inafanya...
  20. K

    Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…