wizara ya ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya ardhi yatoa huduma maonesho ya sabasaba

    Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya "Fahari ya Tanzania" Wizara ya Ardhi natoa baadhi ya...
  2. Wizara ya Ardhi

    Wadau sekta ya milki watakiwa kuwa na umoja

    WADAU SEKTA YA MILKI WATAKIWA KUWA NA UMOJA MWANZA Wadau wa sekta ya milki nchini wametakiwa kuendelea kuwa na umoja ili kuhakikisha sekta ya milki inakuwa. Hayo yameelezwa tarehe 17 Juni 2025 na Mkurugenzi wa Kitengo cha Milki Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Upendo...
  3. R

    Nauliza: Kwanini Jerry Silaa aliondolewa Wizara ya Ardhi? Alionekana kufanya kazi kwa weledi kupunguza migogoro ya ardhi. Let us speculate reasonably!

    Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa! What was wrong with him? Can any of us speculate logically? https://www.instagram.com/mangi_viwanja/reel/C73xMi-M6AJ/
  4. Wizara ya Ardhi

    Kikosi kazi cha wizara ya ardhi chafunga mafunzo ya usajili wa miamala ya upili ya itokanayo na hakimiliki za kimila maswa

    Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekamilisha rasmi mafunzo ya Usajili wa Miamala ya Hakimiliki za Kimila kwa Watendaji wa Vijiji pamoja na Wenyeviti wa Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo...
  5. GoldDhahabu

    Mbona Jerry Slaa hasikiki siku hizi?

    Sijui ni mimi tu ndiyo simsikii! Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara. Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa! Huu ukimya ni wa...
  6. Kijakazi

    Wizara ya ardhi ya nini? Wakoloni walipiga kazi miaka 10/20 kwisha!

    wizara ya ardhi mpaka leo hii bado ina survey na kugawa/uza viwanja wakati kwa hali ya kawaida hiyo kazi walipaswa wawe walishamaliza muda na kukabidhi halmashauri husika. Mkoloni alikuta mapori lkn alipiga kazi ndani ya miaka 10/20 nchi yote ilipimwa, maziwa, mito, bahari, kilimo wapi kilimwe...
  7. Wizara ya Ardhi

    Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  8. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuanza kutekeleza programu ya kuendeleza maeneo yaliyochakaa katika majiji

    Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
  9. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya PAC yaridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inayojengwa Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Hayo yamesema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  12. Wizara ya Ardhi

    Rais Samia mgeni rasmi uzinduzi wa sera ya Taifa ya ardhi

    WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt...
  13. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi awataka wadaiwa pango la ardhi kulipa

    A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25 kumalizika. Mhe. Ndejembi ametoa agizo hilo Machi 05, 2025 wakati akizungumza katika kikao kazi cha...
  14. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aagiza eneo la ukuta lililozidi kigogo kuvunjwa

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa kiwanja hicho. Mhe...
  15. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kamati kumaliza mgogoro wa ardhi Mwanza

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
  16. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya ardhi yashiriki uzinduzi wa wiki ya sheria kwa mwaka 2025

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma. Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
  17. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  18. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi azuia uendelezwaji wa eneo lenye mgogoro Sumbawanga

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza eneo ambalo lina mvutano kati ya mwekezaji huyo na wananchi wa kijiji hiko. Mhe. Ndejembi ametoa...
  19. Wizara ya Ardhi

    Ujumbe wa SMZ watembelea miradi mitatu ya kimkakati ya NHC jijini Dar es Salaam

    Ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) umetembelea miradi mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC. Ziara hiyo iliyoratibiwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanyika leo tarehe 17 Disemba 2024...
  20. Lord Denning

    Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
Back
Top Bottom