wife

A wife is a female partner in a continuing marital relationship.
The term continues to be applied to a woman who has separated from her partner, and ceases to be applied to such a woman only when her marriage has come to an end, following a legally recognized divorce or the death of her spouse. On the death of her partner, a wife is referred to as a widow, but not after she is divorced from her partner.
The rights and obligations of a wife in relation to her partner and her status in the community and in law vary between cultures and have varied over time.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hela ndiyo Kigezo cha Wife Material

    Nawasilimu wana JF Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana. Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe hela yani hapo napoteza interest. Katika harkati zangu za kutafuta wife material, nikakutana na huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Wife chuchu zinamuuma, shida ni nini?

    Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada. Status: Hajawai kuzaa Hajawahi shika mimba Hanyonyeshi Hajawai kua na hilo tatizo
  3. JamiiForums Tanzania I am looking for a wife

    ...
  4. JamiiForums Tanzania I am looking for a wife.

    ... Active naomba ufute hii thread
  5. JamiiForums Tanzania Wife aliniamsha usiku wa manane ni mfuatie embe bichi kisa ana mimba

    Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

    Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana. Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

    Habarini, Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila...
  8. JamiiForums Tanzania Simba's fun nearly lost a wife

    .
  9. JamiiForums Tanzania Sifa za Wife Material

    Baadhi ya sifa za mwanamke ambazo zinaweza kumfanya kuwa "wife material" ni pamoja na: 1. Uaminifu: Kuwa mwaminifu na kuaminika katika uhusiano. 2. Upendo na Huruma: Kuwa na uwezo wa kujali na kusaidia mwenzi wako katika nyakati za shida na furaha. 3. Kujali: Kuwa na uwezo wa kujali na...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Looking for a serious woman to be a wife

    Am looking for a a single woman to mary Me: age-30 Job:public servant Location : southern highlands Woman looking for: Age : below 30 Able to relocate Not having a child Job its not issue for me If interest check me through inbox
  12. JamiiForums Tanzania Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  13. JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  14. JamiiForums Tanzania Zuchu ni true definition ya wife material

    Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye Oa chap masta
  15. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  16. JamiiForums Tanzania DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wives in public and at home!

  18. JamiiForums Tanzania Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

    Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo. Sasa skumoja nikiwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Need a wife

    Nahitaji mwanamke HIV positive, umri 23-30, haijalishi kabila na elimu, ikitokea ana mtoto asizidi 1.
  20. JamiiForums Tanzania Looking for a future wife

    Hello! Jf family I'm looking for matured women to start a new life chapter with. I'm Christian, 35 yrs with one kid, if you're interested and you're 24 -30 yrs please leave a message in my Pm Cheers!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…