A wife is a female partner in a continuing marital relationship.
The term continues to be applied to a woman who has separated from her partner, and ceases to be applied to such a woman only when her marriage has come to an end, following a legally recognized divorce or the death of her spouse. On the death of her partner, a wife is referred to as a widow, but not after she is divorced from her partner.
The rights and obligations of a wife in relation to her partner and her status in the community and in law vary between cultures and have varied over time.
Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana.
Uzi huu hapa...
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.
Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
One of the most frequently asked questions about the Bible is, "Where did Cain get his wife?" Skeptics have discovered that many Christians struggle to answer this question, but the answer is not as difficult as you might think.
### What Does the Bible Say?
"Where did Cain get his wife?"...
Habari,
Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi, am very focused
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiriwa
5. Ninaishi Kilimanjaro
Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 26
3. Msafi wa mwili na roho
4. Uwe na elimu...
Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife
Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile.
Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme...
Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde
Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda...
Wadau Ujuaji siyo mzuri ila furaha ni jambo njema tuendelee kujifunza lugha za wakubwa duniani tusikate tamaa! Kiswahili ni kiswahili na kiingereza kisalie hivyo! -SHE delivered a baby boy ❌
-SHE was delivered of a baby boy ✅
➡️
➡️ kumbuka kwa Waingereza "A woman is...
CC
D2
UNDERSTANDING YOUR MAN...
Men are the simplest specie I've ever handled in my life. No man is difficult, ignorance is what makes it difficult. If you want men to fall in love with you and your fiance/husband to treat you like the greatest treasure on earth, you must understand what...
Salaam wakuu,
Mada hapo juu yahusika...basi bana baada ya kukaa America miaka miwili kasoro nilirud nyumbani kuona familia, ikumbukwe toka kipindi chote hicho mimi na wife tumekuwa tukiongea sana zaidi hta ya mara 8 kila siku pamoja na changamoto ya kupishana masaa, ukweli sikuwah kuhic...
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina...
Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani
Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia
meseji anaweza kutuma vizuri lakini mwandiko wake nilipoujua nilipata mashaka kama amewahi kumaliza form 4 lakini hilo...
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe.
Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine.
Bikra Matter
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina...
Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu.
Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama.
Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha ya wife kama profile huko whatsapp.aisee nimeoga mvua ya matusi ya kila aina kutoka kwa baadhi ya...
Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.