Nukuu hii aliwahi kuitoa Hayati Nelson Mandela alipokuwa akiwapa moyo wapigania uhuru na wapinga ubaguzi wa Afrika Kusini kwa yote yaliyowapata kutoka kwa Makaburu.
Naomba niazime nukuu hii na kuipeleka kwa viongozi wa CHADEMA waliochukuliwa majumbani mwao na Polisi waliotumwa kwa lengo la...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa amejiweka karantini baada ya mtu mmoja aliyepatikana na virusi vya corona kumtaja kama mmoja wa watu wa karibu waliokutana naye.
"Nimeorodheshwa kama mmoja wa watu waliokutana na mtu aliyepatikana na...
2020-10-24 10:12:31
Curvy figures are often considered the picturesque feminine ideal. Women with curvy figures typically fall under the "hourglass" body type. They have equally predominant busts and hips with a narrow waist. If you have a curvy body type, you should choose pieces that...
Tanzanians are counting 6 days to casting their votes later Wednesday next week.
So far the political rallies/campaigns have seen peaceful atmosphere allover the country. Two political figures have chiefly dominated this year's campaign. This is Mr. Lissu and president Magufuli who is seeking...
Mashirika ya kimataifa yamesema takriban watoto milioni 2 wanafia tumboni kila mwaka. Shirika la Afya Duniani, WHO, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto, UNICEF, pamoja na washirika wake wamesema vifo hivyo vinatokea zaidi kwenye nchi zinazoendelea.
Kwa mujibu wa takwimu za dunia...
Bwana Trump aliishia kutukana na kusema uongo, kutumia nguvu ku present urguments, interference kwa mwenzake wakati anaongea ... na vitu kama hivyo.! Hayo ndiyo matokeo ya CNN Instant poll!
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums.
Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.
Ndugu zangu...
world up, hope mko fit as usually ama nini!
kuna wale raia sijui wana akili gani, sijuhi wanahisi sie wanaume tumeumbwaje aani yaani kitu chochote kitacho happen utaskia "jikaze kiume" oyah haa sie wenyewe binadamu tunafeel vile vile mtuachie itikadi za kiboya
Leo nusu nimkande mshikaji...
The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600.
Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.
TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
Be warned
Marriage is meant to be a lifetime affair and is definitely not meant for everyone.
But if marriage is your thing, you got to be careful when choosing your life partner. You do not want to start asking for a divorce as soon as you get into the union.
A woman is a powerful pillar in...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa anamatumaini janga la corona litakomeshwa ndani ya miaka miwili
Akizungumza mjini Geneva, Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema homa ya Spanish flu ya mwaka 1918 ilichukua miaka miwili kudhibitiwa.
Lakini ameongeza kuwa kuimarika kwa teknolojia ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona.
Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
Ardi Rizal was introduced to smoking cigarettes by his father at the age of 2 years
--------------------------
Jakarta. The world-famous little Indonesian chain smoker Ardi Rizal (2) smoked 40 cigarettes a day (two cigarette boxes) and was able to get rid of his addiction through special...
Umri ulimwambia kakua..usichana ukapiga nae story kumshawishi awe na mvulana..akawa nae..akautimiza ukamilifu wake kiakili..baba dokta mama dokta..ayesha sachin aliishi kikamilifu kwenye maisha kamilifu..
..Anaamka saa nne anakuta kila kitu mezani..shida haikuthubutu kumfata..alichukua...
Yametimia, Joe Biden keshachagua mgombea mwenza. Nilikuwa nasoma sehemu kwamba Democrats walishauri achague mgombea mwenza mwanamke tena mweusi: Binafsi nilihisi labda wanatania au wameenda mbali sana lakini yametimia. Hapa inamaanisha kwamba huyu babu Joe Biden mwenye miaka zaidi ya 77 akiwa...
A lady has voiced out her own opinion about a social issue which has something to do with the marriage. The lady maintained that some men marry the wrong women because they think they own them not actually the ones they really love. She also included social pressure and fear of drama as one the...
Once again it’s on. Election fever is here.
The presidential candidates from the ‘main’ parties have all been nominated.
The trepidation, mostly from the opposition camp, is palpable.
Political talk is seeping through in all facets of society. From the streets to the workplace, social media...
Kwa wasomi wa Emergency preperadness and responce, Disaster management na control of Cominicable deseases watakuwa wanaelewa sana kuhusu Intrnational Health Regulations (IHR 2005).
Hivyo mataifa yanayozuia free movement ya wasafiri yanapaswa kukaa chini na wataalamu wao na kuepusha usumbufu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.