who

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

    ‘
  2. JamiiForums Tanzania WHO: Maambukizi ya Corona yapungua kwa asilimia 17 Duniani kote

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza kuwa kumekuwa na upunguaji wa kesi za maambukizi ya corona (Covid-19) kwa asilimia 17 katika wiki iliyopita ndani ya maeneo 6 tofauti kote ulimwenguni. Kulingana na takwimu zilizochapishwa na WHO, idadi ya kesi za maambukizi imekuwa ikipungua kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

    Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO linasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; WHO ametoa maelekezo lakini kuna wasio sikiliza maagizo

  5. Q

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  7. JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
  9. JamiiForums Tanzania Antonio Guterres: Suala la Chanjo za kupambana na Corona lisichukuliwe kitaifa

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa #COVID19 kuchukuliwa kitaifa Katika ujumbe wake amesema, hakuna nchi itakayokuwa salama dhidi ya #CoronaVirus hadi nchi zote zitakapokuwa salama Kauli yake inakuja baada ya nchi kadhaa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam, The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

    Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  12. JamiiForums Tanzania The WHO finally admits that the PCR test produces countless false positives COVID-19 positives.But why now?

    Posted on December 20, 2020 by State of the Nation Warnings concerning high CT value of tests are months too late…so why are they appearing now? The potential explanation is shockingly cynical. Kit Knightly Off Guardian The World Health Organization released a guidance memo on December 14th...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is like the elder brother who doesn't mind the tantrums of the little brothers

    Kila kunapokuwa na utata wa kidi[plomasia, Kenya always act like the bigger brother. Utapata wabongo humu wakiuona kuwa udhaifa ila Kenya inanikumbusha jinsi big brother mwenye busara anavyopuuza tantrums za ndugu zake wadogo. Yaani Kenya hatuoni haja ya kupigama na vinchi kama Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania WHO kutoa chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya WHO huko Geneva, Uswizi, akitumia njia ya video...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Who will be crowned winner? See the 10 finalist of the curvy competition & pick your winner.

    Who will be crowned winner? See the 10 finalist of the curvy competition & pick your winner. Opinion By MzansiEveningNews | Published 14 hours ago - 9980 views We may have come across some news today about the happenings in South Africa and we might have reacted to them emotionally. Good...
  16. JamiiForums Tanzania The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  17. JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Shirika la Afya Ulimwenguni-WHO, Alhamisi limezisihi nchi za Afrika kuandaa mipango ya kusambaza chanjo za COVID-19 kadri zitakavyopatikana. Utafiti mpya wa WHO uligundua kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziko tayari kwa kile kitakachokuwa harakati kubwa zaidi ya chanjo barani humo. Kupanga na...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  19. JamiiForums Tanzania WHO : COVID-19 bado tishio licha ya mafanikio ya majaribio ya chanjo

    Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema kuna kazi kubwa inayohitajika kupambana na janga la virusi vya corona licha ya kuwepo na habari nzuri wiki hii kuhusiana na mafanikio ya majaribio ya chanjo. Akizungumza kutoka Geneva...
  20. M

    JamiiForums Tanzania 44 year old woman who dates young men (Ben 10) says she is too beautiful to date men her age

    This video of a 44 year old woman explaining in a 13 minutes long video that she does not want to date men who are her age, because she is too beautiful for that. This woman says that her preference in men are those who are younger than her, most probably 20 years younger than her because she...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…