wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  2. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  4. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

    Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa. Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
  6. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

    Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi. Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  11. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la makobazi, utakubali wewe mzee

    Na kalaga baho Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni. Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na kijana wangu Ahkmed wa Reflexes anadai mzigo ushafika pale Msimbazi. Jengo la Simba ndipo anapopatikana...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wewe ndio Mfalme wa story yako hapa Duniani

    WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI : Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎 Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa hali na mapito yako😎 Wengine wote ni wapenzi watazamaji,na wengine ni wapenzi waburudikaji,na wengine...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
  14. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

    Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe. Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani. Padri akaanza...
  15. Mwakawasila

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mjasiriamali itakufaa

    Mwanangu J yani huyu mama anapika chakula Cha kawaida sana yani Gey. Sasa si umekipenda na kawaida yake hiyohiyo Mimi huwa siingii kula hapa J. Siyo kwamba nakipenda na siyo kitamu kuliko Kwa Adelina Gey. Ehee Mimi huwa nakula Kwa Adelina chakula chake kitamu lakini pia si unajua anatotozi...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eeh, ulisema wewe ni self made super woman glamorous independent mwanaume anipangii kitu

    ..jinunulie msosi sasa wonder woman.
  17. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  19. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Kuweka privacy screen kwenye simu nikama kujipachika mdole wewe mwenyewe

    Mtu unanunua flagship ya pesa nyingi yenye technology ya kioo kikalii badala ya kuendelea kuenjoy AMOLED au OLED mixer 2200 nits ulivyokua zwazwa unaenda kuweka giza juu yake sijui mnaficha nini hata ukiangalia content za 1080p unaona blur hizo privacy muwape watu wa infinix na tecno tena zile...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀 Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
Back
Top Bottom