wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako

    1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, 3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia, _ 4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
  2. JamiiForums Tanzania Kama wewe huzami uvinza

    Nyoosha mkono juu
  3. JamiiForums Tanzania Wewe mzazi unayemtegemea mwanao utalipwa kile ulichomfanyia mzazi wako (karma is real)

    Mzazi unataka nikujengee nyumba kubwa nikununulie na usafiri, haya unayoyahitaji kutoka kwangu sijui kama uliwahi kumfanyia mzazi wako hata robo yake, mmekuwa ni watu wa kututishia kutupa laana na hali ya kuwa nyinyi wenyewe wazazi wenu waliwavumilia vituko vyenu mpaka kuwa na familia na kutuzaa...
  4. JamiiForums Tanzania Ukipata hivi vitu vitatu kwa pamoja wewe unaneema

    Waswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema. Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa 1. Akili, 2. Uzuri, 3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

    Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive." Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?! Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba! Kwamba...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwaisa: Mangi tunakubali wewe mkali ila mwachie dogo Mwanasheria utafurahi

    Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana, "Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni" Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  9. JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  10. JamiiForums Tanzania MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  13. JamiiForums Tanzania Usijizime data! Wewe kama ni msomi unaijua fika kuzimu hile ya Biblia ikoje!

    Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  15. JamiiForums Tanzania Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL alivyotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti hao makada wamejitokeza hadharani na kumshambulia...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    (1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanapoona ukuta wewe ona njia

    WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  19. JamiiForums Tanzania Kipimo: Kama wewe sio kichaa usikomenti hapa

    Kama una changamoto ya afya ya akili komenti chochote. Madaktari wa akili kaeni karibu mnaweza pata wateja.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kabudi nimeipitia vizuri CV yako, wewe ni mwanahabari mzuri

    Wakuu, Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo. Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…