wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njooni msome muone wenyewe

  2. Akili za wa-Iran,wanazijua wenyewe.

  3. Hivi mahakama zetu kuna siku wananchi watajifanyia haki weki wenyewe pitia hapa.

    Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!? Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!? Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu! Kama...
  4. Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  5. Dodoma: Serikali yawaruka Machinga, imesema wamehama wenyewe hawajalazimishwa

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekanusha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo (Machinga) kutoka eneo la One Way kwenda Dodoma Inn kama ilivyoelezwa na wafanyabiashara hao siku ya jana. Ufafanuzi huo unakuja kufuatia malalamiko yaliotolewa na wafanyabishara hao siku ya jana Ijumaa, 23, Agosti 2026...
  6. Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  7. Vijana mmeamua kabisa kujiua wenyewe

    Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005 Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana? Asubuhi tu vijana mna...
  8. Africa ni wrong entry kwa wa africa wenyewe.

    Unazaliwa africa ila africa inavokutendea na kukufanyia au kuona ulipo ni kama sio sehemu sahihi. Msemo wa wazungu kusema watu weusi ni nyani ulikuwa sahihi kabisa.
  9. E

    Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    1. Warangi hawajui kukataa mnaweza kutembezewa mbunye (isio na antenna) mtaa mzima bila kujuana. full majuba ila maadili hamna. 2. Ukioa Mrangi, jiandae kulea ukoo mzima nyumban kwako hata umepanga chumba kimoja. Kaka zao wala mirungi mwanzo-mwisho. Full kutegemea Dada zao.
  10. Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  11. USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Friends and Our Enemies, "How you do anything,is how you do everything"...Dante. Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani...
  12. S

    Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Salaam Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi, Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
  13. Kuna watu hawawezi kua /kukaa wenyewe. Hii hua inanishangaza sana

    Wakuu, Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao. Hapa naomba nieleweke kwamba kukaa wenyewe yaan mtu ukimwacha dakika 2 peke yake unamkuta amefanya vitu km kichaa fulani vile...
  14. Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  15. Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
  16. Baada ya Kuahirisha Baraza Kuu, simmeona Wenyewe tangu Juzi Walofadhiliwa kufanya Fujo, wanavyojitokeza kujilopokesha?

    Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!. Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama kurudisha Pesa za watu au Kuita Vyombo vya habari kumshambulia Heche
  17. Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  18. Yametimia mkitumaliza sisi mtageukiana wenyewe kwa wenyewe

    Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na...
  19. Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  20. Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…