wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

    "Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu. Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

    Mkapa alikuwa haogopi mijadala ya kimataifa- Rais @SuluhuSamia Chanzo: EastAfricaTV Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Siku zote ukiwa na Akili sana, Unajiamini, Msomi na Msomaji mzuri wa Vitabu, una 'Exposure' ya Kutosha, siyo Mnafiki wala Muoga, Mcha Mungu hasa na siyo Mchanganya Mungu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Tusijiamini sana, mauaji ya Rais wa Haiti yanaweza kutokea kwa Wengine. Umakini uongezwe kwa Marais Duniani

    Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nyie hawa hawa wanandoa au ni wengine?

    Salaam. Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea kuingia katika ndoa, promises kibao na mambo kedekede, inshort huonesha kwamba kwamba wako smart couple...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

    Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420. Sikatai ila nina hoja: Kwanini Magufuli? Mwinyi je? Mkapa je? Kikwete je? Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwadhulumu wengine wewe ukidhulumiwa unakuwa mbogo?

    Mzuka wanajamvi! Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu. Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu? Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali. Si upotezee tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…