wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani iliwafunda Nyerere na watu wengine wa dunia waliokuja kuwa Marais wa nchi zao

    Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kusikiliza ni sehemu ya kujisaidia wewe na watu wengine pia

    Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana umuhimu wake,kwahiyo asitokee mtu akasema kuongea ni bora kuliko kusikiliza laa! Anafeli bali yote mawili...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tembo akilala kama wanyama wengine hatoweza kuamka kwasababu ya uzito

    Je ni kweli mnyama Tembo huwa hawezi kulala kama wanyama wenzie na akilala kama wanyama wenzake hupelekea kifo kwasababu ya uzito wa mwili wake
  5. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

    Hapo vip!! Naomba kuwasilisha Kumbe Simba haikuanzishwa na malofa kama wale wengine.
  7. JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  8. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Wapiga kura ni sisi au kuna wengine?

    l will be honest Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo. Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya. Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa si msiba, kwanini ziwatese watu wengine?

    Mhadhara - 34: Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni muhimu kumchangia hela mfiwa za kumsaidia. Kuhusu ndoa/harusi: Siku hizi matukio ya harusi yamekuwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Usimcheke mwenzako: Fundisho la Siri, jione wewe kupitia wengine

    Nimetafakari sana juu ya mfano wa mtu anayeogelea ufukweni akiwa uchi huku mwingine akimuangalia na kumcheka alivyo. Katika tafakari hii nimejikuta nakosa maana ya kumcheka Kwa sababu tofauti ya anayecheka ni nguo tu alizovaa ila inawezekana mchekaji akawa kituko zaidi. Fundisho la siri...
  11. JamiiForums Tanzania Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  12. JamiiForums Tanzania Alichokifanya P Diddy iwe Funzo Kwa Vijana Wengine Wapenda Kitonga

    Samaleko.. Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake. Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad...
  13. JamiiForums Tanzania Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

    Orodha ni ndefu sana kuanzia justin bieber mpaka Lil bow wow, Orodha ni ndefu sana,na wameanza kujitaja na kutajana baada ya kugindua mamlaka ina ushahifi wa wapakwa mafuta wote ,
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  15. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kichaka kinawaka moto 🔥🔥 panzi, buibui na wadudu wengine wamechanganyikiwa wanakimbia hovyo

    Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa! Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu waliokuwa wamejificha kwenye vichaka ghafla wamepanic wanaanza kurusha maneno na kupingana na uhalisia...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…